Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Unajua kuna mkataba gani kati ya FB, other social networks na hizi mitandao ya simu??? Hujui mitandao ya simu like Voda, inafaidi zaidi kwa kufanya partnership na social networks???Mkuu basi tuseme hakuna kitu kisicholipiwa kama ndiyo mtazamo wako wa mambo. Kumbuka anayekula hiyo pesa ya bundle ni network supplier wako FB hali chochote kutoka kwenye hilo bundle ulilolipia. Hapa mimi ninazungumzia mtu kulipia direct kutumia huduma ya kuchat.