Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 779
- 4,564
[emoji3] [emoji3]....[emoji848]Joob true true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3]....[emoji848]Joob true true
Wazee wa furusa.mzee baba emu niunge mm kwenye ilo group la wachatishaji...
Unakakamaza ubongo mkuuAnawalipa indirectly, Kupitia internet bundles .! Naamini utakuwa umeelewa
HahhahahhahDada mtanzania katumia million 15 Ku chat??
Warusi hawana hela ataishia kuishi maisha ya stress.Dola elfu saba na bado hajui mwelekeo ?
Aisee huyo dada mtafte mwambie aje hapa zanzibar akizurura siku mbili tu beach lazima atimize ndoto yake wazungu watamwopoa chap sana
Juzi hapa zimepita waka wiki mbili ivi kuna hotel moja hapa inaitwa kiwi kuna wazungu (warusi) wamechomana visu kisa wanagombania demu mweusi wa kiafrica.
Kwa hiyo mwambie aje zenji soko analolitaka lipo ndoto yake inatimia ndani ya wiki moja tu
Simple question: Bila bundle unaweza kujiunga FB!?? Au: Ukiwa umejiunga bundle ukaspend time FB only, bundle haitumiki???Hakuna kitu kama hicho halafu sijui ni kwanini watu wengi huwaza hili. FB inatengeneza pesa kupitia matangazo siyo bundle unazolipia kwa ISP
Mkuu naongelea kulipia moja kwa moja kwa mwenye platform. Ni sawa kwenda vituo vya afya vya serikali kwa matibabu ya mtoto ni bure na dawa wanakupa bure. Ila sasa ukianza kusema siyo bure kwakuwa unahitaji nauli kufika kule, hapo utakuwa unazungumzia jambo tofauti maana anayechukua hiyo nauli siyo pale kwenye kutuo cha afya na wala hana share kwenye nauli utakayolipa.Simple question: Bila bundle unaweza kujiunga FB!?? Au: Ukiwa umejiunga bundle ukaspend time FB only, bundle haitumiki???
Hii chai, tena hata moto haina.Dada mtanzania katumia million 15 Ku chat??
Hujajibu swali, umepuyanga madesa. Mbona watu wanapenda sana kukwepa maswali na kujibu mengi tofauti kabisa ambayo hayakuulizwa??? Pls jibu swali aisee!Mkuu naongelea kulipia moja kwa moja kwa mwenye platform. Ni sawa kwenda vituo vya afya vya serikali kwa matibabu ya mtoto ni bure na dawa wanakupa bure. Ila sasa ukianza kusema siyo bure kwakuwa unahitaji nauli kufika kule, hapo utakuwa unazungumzia jambo tofauti maana anayechukua hiyo nauli siyo pale kwenye kutuo cha afya na wala hana share kwenye nauli utakayolipa.
Yah ninaweza kutumia facebook bure kuchat nikiwa kwenye free wi-fi kama ya cocacola waliyokuwa wamefunga vituo vya basi, kama ile iliyofungwa UDOM chimwaga. Mimi naongelea mitandao ambayo kutuma msg hata uwe na free wi-fi unalipia. Yes bula bundle nilikuwa nikitumia facebook bure kwa free wi-fi kwa kipindi chote nilichokuwa chuo. Umeridhika?Hujajibu swali, umepuyanga madesa. Mbona watu wanapenda sana kukwepa maswali na kujibu mengi tofauti kabisa ambayo hayakuulizwa??? Pls jibu swali aisee!
Nipe connection yake nimsaidie atimize ndoto yake.Atajua mwenyewe, halafu ni mtu mwenye status yake anafanya kazi yake nzuri tu usidhani ni mdada wa mjini mjini.
Unapotumia hiyo free Wi-Fi ya Chimwaga, bundle huwa halisomi limetumika kwenye servers za wenye mali au wafadhili wako, unapokuwa unaaccess the so-called free social media kama FB!??Yah ninaweza kutumia facebook bure kuchat nikiwa kwenye free wi-fi kama ya cocacola waliyokuwa wamefunga vituo vya basi, kama ile iliyofungwa UDOM chimwaga. Mimi naongelea mitandao ambayo kutuma msg hata uwe na free wi-fi unalipia. Yes bula bundle nilikuwa nikitumia facebook bure kwa free wi-fi kwa kipindi chote nilichokuwa chuo. Umeridhika?
Ilishafutwa. Nami mwanachama mstaafu.Mkuu, hii feature ya Online dating ya Fb ipogo wapi au inakuwaje kuwaje ?? Nataka nijionee huenda nikamkuta Mama watoto wangu huko [emoji23][emoji23][emoji23] (Kidding )
Nimetumia bure sikuwa nalipa hata cent 10. Si umeuliza kuhusu kutumia bila bundle. Nilikuwa natumia bila bundle. Na bado unaweza kutumia facebook bila bundle kupitia freebasics. Hakuna aliyekuwa ananifadhili nilikuwa natumia bundle bure..Unapotumia hiyo free Wi-Fi ya Chimwaga, bundle huwa halisomi limetumika kwenye servers za wenye mali au wafadhili wako, unapokuwa unaaccess the so-called free social media kama FB!??
Kiongozi Sweden kuna tatizo gani na shule za huko?My dear fanya kumwelezea uhalisia wa mambo asije kuomba scholarship kwendo kusoma SWEEDEN ili akapate mume badala ya kwenda kuondoa ujinga au Kusoma tu. Huenda ukamsaidia ili asije kuharibu pesa ya familia buree au wakatu mwingine kuwaingiza gharama zisizo kuwa na maana yoyote
Majibu yako yanafaa sana mahakamani kwenye uchunguzi wa kesi za jinai, kwa sababu unwittingly unadrop kitu kisichoulizwa. The proof of that ni majibu mareeeefu kama msafara wa mabehewa ya treni. Eneweiz, nimeambulia msamiati mpya wa "magori!"Nimetumia bure sikuwa nalipa hata cent 10. Si umeuliza kuhusu kutumia bila bundle. Nilikuwa natumia bila bundle. Na bado unaweza kutumia facebook bila bundle kupitia freebasics. Hakuna aliyekuwa ananifadhili nilikuwa natumia bundle bure..
Umeanza kuhamisha magori sasa.
Kwakukuabaharisha ni kwamba bundle unalotumia na kulipia malipo yake FB hachukui hata cent. Pesa ya Fb wanaipata kwenye matangazo na data zako hiyo ndiyo biashara. Kama hutaki kuelewa basi
Let us call it a day... UmeshindaMajibu yako yanafaa sana mahakamani kwenye uchunguzi wa kesi za jinai, kwa sababu unwittingly unadrop kitu kisichoulizwa. The proof of that ni majibu mareeeefu kama msafara wa mabehewa ya treni. Eneweiz, nimeambulia msamiati mpya wa "magori!"
The first time I see your shortest reply ever! Congratulations, you're improving!Let us call it a day... Umeshinda
Kiongozi Sweden kuna tatizo gani na shule za huko?