Mambo wasiyoyapenda wanaume ndani ya ndoa

Mambo wasiyoyapenda wanaume ndani ya ndoa

Hilo la huyu nilisoma nae sijui huyu ni mwalimu wa kwaya etc ni ujinga ambao siutakagi.
 
Ongezaa hii ME HAPENDI KUZIDIWA KIPATO NA KE WAKE. kuna jirani hapa ni boda alichimba kisima ili mke asipate taabu kufata maji mbaaali.

Sasa majirani tukaanza kufata maji kwake kwa 100 ndoo. Msimamizi akawa ndo mama mjengo mke wa bwana boda.

Miez ikapita mke akawa hana adabu, boda akinunua mkaa haukatizi unaisha akiulizwa majibu mabayaa tu na matumiz mengine hvyo hvyo kisa ana backup ya vichench vya kisiman ambavyo hata asipopewa tumiz atakutwa kanunua nyama or samak wakubwaaa.

Shida ikaanza boda alipopoteza pikpik, akawa jobless!! Mke ndo analisha familia kwa chench za kisiman. Boda anaenda vjiwen kutafta pikpk ya mkataba hapat. Akirud anarud mikono mitupuu!!

Mke akaanza dharau hatimiz majukumu yake kama zaman ati kwa kisingizio cha bizee ya wateja wakat zaman boda akirud mda wowte anapata stahk zake zote.

Siku moja boda akachukua buku5 akapime na kununua dawa za UTI bila kumjulisha bidada wake aseeee usiku wa hyo siku boda alitukanwa sana ni vile tu jamaa hajui kupiga mke hata kofi akawa amemezea!!!

Ati mwanaume huna kazi, nakulisha wewe na watoto na bado unathubutu kuniibia hela yangu??? Boda akamkumbusha bidada kua yeye boda ndo alie chimba kisima so bidada pale anasmamia tu n cha familia ila bidada kwa chench alizokua nazo akamtambia boda kua hata yeye bidada anahela za kuchimba kisima, kama kaweza kununua tv na smat 4n atashndwaje kisima???!!!

Mda kidogo ukapita boda akapata chuma kipyaaa cha mkataba safiii, akapiga kazi wiki mbili tu, tukaona jamaa kashusha tofari za block na matilio mengne then jumapili mke akiwa kanisan boda kaleta mafund wakajenga boma dogo karibu na kisima hadi mke anarudi tayar kKISIMA kishabadilishwa KUA CHOO na mafundi wamesha jisaidiamo. Boda akawa anatuambia hicho ni choo spesho kwaajiri ya WAKWE.
Mke karud boda keshaenda job. Kesho ya mke nae kaleta machimba visima kaanza kuchimba kisima kimefika ila hakina maji coz maji ni kuotea sasa hv bidada anaomba kila kitu kwa boda na boda kaapa hatakuja kumfungulia hata biashara ya nyanya. Na heshma kama imerudu flani.
 
Mbona hizi ni common decencies tu. Kwamba wanawake tunapenda kufokewa?? Kunyanyasika?? Watu wetu wawe na marafiki wa kike??

Hivi ni vitu tusivyopenda wanandoa wote!
 
Mbona hizi ni common decencies tu. Kwamba wanawake tunapenda kufokewa?? Kunyanyasika?? Watu wetu wawe na marafiki wa kike??

Hivi ni vitu tusivyopenda wanandoa wote!
Mwanamke anahitaji kupendwa sana. Weka vitu vyote vinavyo husisha upendo.

Mwanaume anahitaji kuheshimiwa sana. Weka vitu vyote vinavyo husisha heshima.

Hiyo ni kanuni ya asili.
 
Back
Top Bottom