Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Hiyo ya kuitana kwa king'ora siyo ushamba Wala ajabu, sehemu zingine wanapiga jembe, wanapiga Ngoma-,, wengine wanapiga la mgambo, hiyo ni ala ya mwito Safi tuuuuuuuuu
 
Mtoa mada yupo sahihi, nipo Kanda ya ziwa ukikutana na watu kumi ujue 8 Wana chale mkononi, kifuani, mgongoni n.k. Nina dem wangu Hadi matak**n Kuna chale hadi nilimuogopa aisee

Hiyo ya misiba wanaspika za dawa ya sumu ya panya vile. Wanatangaza msiba wote muende huko usipoenda kamzozo kumbuka nipo manispaa hapa

Kula wali hawajui wanakula wanaingiza mkono wote mdomoni halafu wanajilamba kabla ya kumaliza kula siyo wote Hila wengi wao

Kusalimia Kila mtu kisukuma hii hata umasaiini niliiona

Kwenye dala dala route ndogo tu abiria ananunua. Njiani ndizi anakula, mayai anakula Maandazi makubwa ya miatano na miwa anamalizia kumbuka hiyo ni kama Gongo la mboto to banana
 
Mbona kama vitu vingi ulivyotaja vinamake sense na ni vya muhimu ukiondoa issue za uganga?
 
Msilazimishe kila mtu ambaye sio wa kwenu kufuata mila zenu za kishamba watu wamekuja na mishe zao nyie mnawaletea upuuzi wenu wa huko unafikiri kila mtu mshirikina kama nyie
Interesting..

kama huwezi kuishi kwa washamba wapuuzi na washirikina baki kwenu kwa wajanja na walokole..Heshimu mila na tamaduni za watu.
ivo tu!
 
Bugarama au.
 
Kwa vijijini ni maeneo mengi sana ukabila hasa upande wa biashara Tanganyika hii unahusika sana tena sana. Hata kule kusini kuna hao Wamatengo labda biashara unayofanya kusiwepo na mwenyeji anayefanya hiyo biashara pia.
Wamatengo wana shida gani mkuu zaidi ya uongo tu ndo kasoro yao kubwa.. ila kwenye biashara popote wanatia kambi,mbona wakinga kibao wametoboa huku miaka na miaka na wanazidi kuongezeka tu..
 
Niseme kwa asillmia kubwa wako vizuri!
Hasa hii ya kutandika Viboko wanaume wasiotunza wake zao! Na hii ya kukamata ugoni iko poa.Mahali pengine ukikamatwa ugoni na mke wa mtu kukatwa mapanga inakuhusu.
Hakuna mahali pasipokuwa na Uchawi hasa kwa vijijini.
Ukienda mikoa ya watu upwani acha Dar siyo mikoani vijini.
 
Hkuna sababu yoyote ya maana ya kumfanya mwanaume halisi ashindwe kuishi mahala fulani kw vigezo ulichosema ni sababu! WEWE UNA HOMONI ZA KIKE TU
 
Bado hujazungumzia habari za kunya vichakani.
 
Hiyo ya mwisho sio sababu ya kijinga ni sababu ya KIJANJA, kukutana kujadili palizi au kutengeneza barabara kwa pamoja (Harambee) inakuaje akili ya kijinga?
 
Hiyo ya mwisho sio sababu ya kijinga ni sababu ya KIJANJA, kukutana kujadilo palizi au kutengeneza barabara kwq pamoja (Harambee) inakuaje akili ya kijinga?
Kwa upande fulani ni ujinga. Unalipa kodi kwaajili ya maendeleo ikiwemo miundombinu, sasa inakiawaje tena uje unichangishe au uniambie nikatengeneze barabara.

Tuwawajibishe hawa watawala.
 
Kwa upande fulani ni ujinga. Unalipa kodi kwaajili ya maendeleo ikiwemo miundombinu, sasa inakiawaje tena uje unichangishe au uniambie nikatengeneze barabara.

Tuwawajibishe hawa watawala.
branch ya Barabara inayoelekea shuleni italimwa na Kodi zenu kweli? au ni ujuaji wa TikTok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…