Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

Okay,
Ingredients
1.ice cubes/blocks vile tunawekaga kwene JD
2. Sprite
3. Hard candies zipo everywhere
4 cough cyrup yenye codeine

How to mix the ingredients,

1. Chukua Ice Blocks weka kwa glass yako,
2. chukua sprite tumbukiza nusu ya ile spite ya buku
3. Tumbukize zile candy zako( They are the sweetener)
4. Then weka dawa yako nusu ya kile kichupa cha dawa ya mafua au robo tatu, yan we zidisha the normal dosage utaona matokeo, ila ni very addictive sababu ni Tamu sana mkuu hiyo kinywaji.

Alafu changanya changanya ili yale mapipi yayeyuke yeyuke mzee ndio utamu wenyewe then unaweza ukaanza kunywa.

NB: People in Zim wanadrink ile dawa kavu kavu sababu dawa ya mafua ile ukiinywa nyingi ndio unasizi, hiyo dawa imewavuruga sana mateja wa Zim mkuu....mpaka serikali haiuz ile dawa hovyo hovyo, mateja wa bongo hawajajua kama ile kitu inalewesha wakijua tumekwisha
Zim ndo wapi?zimbabwe?
JID ndo nn?
hizi terminology za kishua sizipati.

Hiyo candy ukiiweka inamelt??kama zile pipi kifua au lolipop zinafanya kaz?

Hii ishu mi nljua kibongo bongo haiwezekan nlhisi hamna hizo dawa zenye codeine....ntazitafuta
 
yaaah ni candies au wanaitaga jollies kama sikosei....

Zim ni Zimbabwe alafu hiyo JD ni Jack Daniels mzee sio za kishua za mtaani tu mkuu
 
Zim ndo wapi?zimbabwe?
JID ndo nn?
hizi terminology za kishua sizipati.

Hiyo candy ukiiweka inamelt??kama zile pipi kifua au lolipop zinafanya kaz?

Hii ishu mi nljua kibongo bongo haiwezekan nlhisi hamna hizo dawa zenye codeine....ntazitafuta

Kama dawa inafika zimbabwe itashindwa kufika hapa ? zipo mkuu kwenye mafarmacy huko
 
kumbe wewe ni ke
Mimi ni dume sema nimeeleza vibaya. Demu alikuwa msagaji mimi nikaruka nae kwa story hizi za experience za kunyanduana. Alipokuwa curious kujua yaliyomo nikadate nae na alikuwa kasi sana haniachii muda. Njia ya kukutana ni yeye kujifanya mgonjwa akaenda hospitali kisha tunameet ukouko maana mimi shule nilikuwa mzururaji sana.

Sasa akifunga kwa zile pigo za watoto wa kishua anajifanya kustay kwao na rafiki yake wa kike, akisema kwa boyfriend si watamgomea. Hapo sasa ndio nakaa nae lodge ila kwa vile shule ilipoisha nikawa na mambo kibao kidogokidogo akarudia usagaji na nilivojua yuko hivo aliniaibisha nikamtoa rohoni kabisa. Yani ile unakutana na schoolmates zake wanakushangaa.
 
Ni mtihani kwa kweli... Ila kwa Tanzania hayo mambo bado, nchi za ulaya sawa...

Cc: mahondaw
 
Ngoja niweke nafasi ya kuja kujibu kiingereza...
Au ngoja nianze!
"You knoo hao tins, wanaexpand then wanavyo eat na kudone wana fuse ile hali ya ku contiradict na mother zao! So ukiwa promote in the square ndio inakuwa diameter, ofcose huwa i givu break to surrenda in mingos.... nitaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wetu humu tulivyokuwa teens tumefanya vioja, iwe wa kishua au kiswaz,tumegonga wadada kwenye hide and seek,madisco ya shule, bila kusahau kuchungulia wadada bafuni na kutyomba hata vyupi vya house girl.Ni kumuomba mungu.Ni utoto tu wakikuwa wataacha.
Chukua hatua kabla hawajakuwa mateja.
 
Ngoja niweke nafasi ya kuja kujibu kiingereza...
Au ngoja nianze!
"You knoo hao tins, wanaexpand then wanavyo eat na kudone wana fuse ile hali ya ku contiradict na mother zao! So ukiwa promote in the square ndio inakuwa diameter, ofcose huwa i givu break to surrenda in mingos.... nitaendelea
Buhhhhhhhhhhh

Hii ya Trampo kabisa
 
Back
Top Bottom