Stakiii π€£π€£π€£π€£Weee hizo request zikwendreee huko you and DC forever and always!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Dada me nazingua wala siko serious na huo upuuzi wao watajijua wenyewe.
Niko mzima wa afya, sijaona panya wa kunitetemesha
Wewe kweli unamfaa bro, mana ni kimeo πππππKauli mbiu mpya hatususii mapenz ni kukomaa tuππππ
Yani siwaletei hata moja nimefundwa mieA room for you two uduguuu kwakweli mmalizane tu usituletee mambo ya Mahondaw tukapata la kuongoea mjue! ππππ€£!
Huyo ni wako tuu hatutaki jua wengine sis! Kwanza inaonekana mnaendana kweriiii kweriiii!Stakiii π€£π€£π€£π€£
Wii ukifa kizembe nami kakaako sitamuweza nitaon hamna roho ngumu nyinyi πππWizo mnajitahidi msinipoteze, kumbe mnanipenda?? π€£π€£π€£π€£
Ila mambo ya mapenzi nipumzike kwa muda kwanza
Dada mume simuachi kwanza sijamfumania ni tetesi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
2017?Nimejiunga JF nikiwa Form four 2017
Time flies
JF nimejiunga baada ya kuvutiwa na nyuzi za Mshana Jr.
Hebu nikaendelee kufukiza vizuree dawa ikuingie haswaaa Haya ndo maneno sasa π€!Yani siwaletei hata moja nimefundwa mie
Mume anahitaji malezi sio mambo ya kipuuzi!!
Wao watasugua gaga sana mbinu zao hazitofanya kazi.ππππ
Nitamuacha Kantry siku nikikuta anamla shoga ila hawa yutiai sugu tutachoma powercef πππ
Kamasutra umenikumbusha KLM lolπ!Dada mume simuachi kwanza sijamfumania ni tetesi π€£π€£π€£π€£
Hapa naangalia Kama sutra moja hivi nimkoleze mume π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Wakinga hatuachiki kizembe ni majeuri sana
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyo ni wako tuu hatutaki jua wengine sis! Kwanza inaonekana mnaendana kweriiii kweriiii!
Wifi sifi nilikuwa nawajaza mibichwa tu masnitch hao π€£π€£π€£π€£Wii ukifa kizembe nami kakaako sitamuweza nitaon hamna roho ngumu nyinyi πππ
Jf kuna muda unabaki unacheka tu!!Sitaki kumpa kiki uduguuu mwenyewe ndio nimemuona leo tangu mchana kanikomalia balaa!
Cheka utanue mapafu uduguuu jf never boring!π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Natamani nikutumie video uone ninavyocheka
We usife kwanza hebu acha kabisa password ya tigopesa tupate hela ya mazishi siyeπ€£π€£π€£Dada pandisha uko juu kwenye comments za fifi moto utaelewa me nguvu sina nakufaa muda wowote πππ
Sasa ndo napanga kumpetipeti nalo mume, emu kwanza wamuache ana majukumu mengi.Kamasutra umenikumbusha KLM lolπ!