Mambo ya JF na zama zake

mkuu mzee.....

Mbona lengo la uzi huu sio hayo uliyotanabaisha, ukisoma vizuri kuanzia mwanzo ilikuwa mimi (OP) kueleza kwanini nilitokea kuipenda jf wakati naanza kuijua kwa mara ya kwanza na matukio niliyoyakuta yakitrend, Au nalo hilo ni kosa?
 
mkuu mzee.....

Mbona lengo la uzi huu sio hayo uliyotanabaisha, ukisoma vizuri kuanzia mwanzo ilikuwa mimi (OP) kueleza kwanini nilitokea kuipenda jf wakati naanza kuijua kwa mara ya kwanza na matukio niliyoyakuta yakitrend, Au nalo hilo ni kosa?
Kuna comments za baadhi ya wakongwe

Wewe uzi umeuandika vizuri sana haukuwa na zile swagga za wakongwe
 
Kuna comments za baadhi ya wakongwe

Wewe uzi umeuandika vizuri sana haukuwa na zile swagga za wakongwe
Haha sasa nimekuelewa vizuri mkuu, unajua kuna ofisi moja nilipita nikakutana na kihoja, mvutano wa wafanyakazi wa ofisi ile ambao ulibase hasa kwenye rika gen z vs millenials, hapo ndio zikaja zile hoja za "nyakati hizi", "vijana wa siku hizi" n.K.

Ni wazi kwenye mchanganyiko wa jamii kama hii ya jf ni vema kujua namna ya kuinteract regardless, ukitaka kuishi au kucompare mambo ya miaka kumi iliyopita na sasa basi hii mitandao itakushinda ni vema kujua kujichanganya au kutafuta niche yako inayokufaa.
 
Mkuu naelewa hili hitaji la numbers ni muhimu sana Ila pamoja na yote, bado jf ni forum kubwa ukanda wa Afrika Mashariki na hata kwa Africa sidhani kama itakosa top 10 or 5

Kwa hiyo hatupo vibaya sana na kama watataka kuifikisha kwa audience kubwa zaidi. Nadhani ingefikiriwa namna ya kutambua na kuipata hiyo "right audience" Kwa sababu hawa wanaoharibu ni wengi lakini wanapunguza overall quality ya forum.

Kwa hiyo sidhani kama ni sawa sana kuharibu brand yako ili uwafurahishe watu wenye mchango mdogo kwa hadhi yako
 
NAKAZIA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na ukajua nyeusi na nyeupe
Antonnia hataki hata kuisikia selfika sijui ilimfanya nini udugu wangu
Unajua mm jf nilikua najua ni jukwaa la siasa tu[emoji23]

Ghafla naona post za sijui selfie, mara sijui chit chats.
Hata hayo mahusiano ya antonnia nilikua siyajui kabisa, nimekuja kuona jina lake huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…