Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 ulale kweli sasa😃Ngoja nilale wii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 ulale kweli sasa😃Ngoja nilale wii
Muacheni apumzike kwa amani, njia yetu ni moja ipo siku tutafatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimemgusa boss wako the late
🤣🤣🤣🤣 Emu tuachane nayo zitaanza kuibuka yutiai sugu hapaUnajua nilikua nashangaa mbona cocastic anapiga sana majungu, daah kumbe walishazidiana[emoji23]
mkuu mzee.....Huwa nawashangaa wakongwe wenzangu huwa tunapenda kusema jf ya sasa sio kama ya zamani
Ni hivi sisi tukomae na mada zetu zilizo na content tunazopenda kwani siku hizi tumekatwa vidole hatuwezi kuandika na kuchangia nyuzi za aina hiyo?
Na hawa madogo wa generation z waendelee na mada zao, la sivyo ni kama tunatafuta attention tuonekane sisi ni wakongwe hapa jf
Au tukubaliane na maneno ya mkongwe aliyesema kama vipi tubadilike twende sawa na upepo wa madogo
Kwenye mitandao hakuna mtu ana mamlaka ya kumpangia mwenzake nini acomment au uzi gani aandike
Simple like that
🤣🤣🤣 me hayanihusu ni coca alinikaribisha dada ake nikamuone shemeji yangu, si ndio nikakutana na vuta nikuvute na mabifu ya mwaka fifteen ninety kweusi wanagombea 🌶Jf watu wana tabia ya kuplay victim card, kila mtu anajifanya innocent[emoji23]
Bas nimeacha 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Muacheni apumzike kwa amani, njia yetu ni moja ipo siku tutafatia
Nalala Wii 😀🤣🤣🤣 ulale kweli sasa
🤣🤣🤣 kaongo wewe!!Nalala Wii 😀
Kuna comments za baadhi ya wakongwemkuu mzee.....
Mbona lengo la uzi huu sio hayo uliyotanabaisha, ukisoma vizuri kuanzia mwanzo ilikuwa mimi (OP) kueleza kwanini nilitokea kuipenda jf wakati naanza kuijua kwa mara ya kwanza na matukio niliyoyakuta yakitrend, Au nalo hilo ni kosa?
Huu Uzi mzuri sana ndo napitia pitia maoni ya wadau wenzangu wa zamani kipindi hiko😀😀😀🤣🤣🤣 kaongo wewe!!
Haya jifunike ulale usichungulie huku
Hayo maoni unayoyapitia nishayaona 🤣🤣🤣Huu Uzi mzuri sana ndo napitia pitia maoni ya wadau wenzangu wa zamani kipindi hiko😀😀😀
Haha sasa nimekuelewa vizuri mkuu, unajua kuna ofisi moja nilipita nikakutana na kihoja, mvutano wa wafanyakazi wa ofisi ile ambao ulibase hasa kwenye rika gen z vs millenials, hapo ndio zikaja zile hoja za "nyakati hizi", "vijana wa siku hizi" n.K.Kuna comments za baadhi ya wakongwe
Wewe uzi umeuandika vizuri sana haukuwa na zile swagga za wakongwe
Mkuu naelewa hili hitaji la numbers ni muhimu sana Ila pamoja na yote, bado jf ni forum kubwa ukanda wa Afrika Mashariki na hata kwa Africa sidhani kama itakosa top 10 or 5Sema bi faiza kaongea point muhimu inategemea wahusika so far lengo lao ni nini it seems kwa sasa wapo kwaajili ya kupata quantity, namba ya wachangiaji na jf kuwafikia watu wengi zaidi kuliko quality ya maudhui, na ndio tunarudi pale pale kwenye point yako kuwa ile dhana ya jf kuwa kama other social medias like fb, ig wakati hili sio lengo mama ambalo jf imeanzishwa.
Ullkishakua vile unatakiwa kuwa mpole, yeye akawa analeta ujuajihahah aisee watu mna siri nzito mno.
Na ww ukanikaribisha mm[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me hayanihusu ni coca alinikaribisha dada ake nikamuone shemeji yangu, si ndio nikakutana na vuta nikuvute na mabifu ya mwaka fifteen ninety kweusi wanagombea [emoji892]
NAKAZIAHaha sasa nimekuelewa vizuri mkuu, unajua kuna ofisi moja nilipita nikakutana na kihoja, mvutano wa wafanyakazi wa ofisi ile ambao ulibase hasa kwenye rika gen z vs millenials, hapo ndio zikaja zile hoja za "nyakati hizi", "vijana wa siku hizi" n.K.
Ni wazi kwenye mchanganyiko wa jamii kama hii ya jf ni vema kujua namna ya kuinteract regardless, ukitaka kuishi au kucompare mambo ya miaka kumi iliyopita na sasa basi hii mitandao itakushinda ni vema kujua kujichanganya au kutafuta niche yako inayokufaa.
Unajua mm jf nilikua najua ni jukwaa la siasa tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na ukajua nyeusi na nyeupe
Antonnia hataki hata kuisikia selfika sijui ilimfanya nini udugu wangu