Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sio kumshtukia, wengi wanamjua vizurikumbe wajuvi wa mambo mlishamshtukia, shubhamiiit!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kumshtukia, wengi wanamjua vizurikumbe wajuvi wa mambo mlishamshtukia, shubhamiiit!
Muda huu ? Nami nije huko? Niko Msasani beach hapaNasikia kuna full moon nini sijui
Najiandaa kuelekea wavuvi
Serious, ngoja nije huko fastaNasikia kuna full moon nini sijui
Najiandaa kuelekea wavuvi
Mkuu Eyce...Mkuu naelewa hili hitaji la numbers ni muhimu sana Ila pamoja na yote, bado jf ni forum kubwa ukanda wa Afrika Mashariki na hata kwa Africa sidhani kama itakosa top 10 or 5
Kwa hiyo hatupo vibaya sana na kama watataka kuifikisha kwa audience kubwa zaidi. Nadhani ingefikiriwa namna ya kutambua na kuipata hiyo "right audience" Kwa sababu hawa wanaoharibu ni wengi lakini wanapunguza overall quality ya forum.
Kwa hiyo sidhani kama ni sawa sana kuharibu brand yako ili uwafurahishe watu wenye mchango mdogo kwa hadhi yako
Muda huu ? Nami nije huko? Niko Msasani beach hapa
🤣🤣🤣 Yaishe tulale babaUnajua mm jf nilikua najua ni jukwaa la siasa tu[emoji23]
Ghafla naona post za sijui selfie, mara sijui chit chats.
Hata hayo mahusiano ya antonnia nilikua siyajui kabisa, nimekuja kuona jina lake huko
My wii 😂😂Hayo maoni unayoyapitia nishayaona 🤣🤣🤣
Sio Halloween party ? Rafiki,nakuja sina mask lkn nakujaNasikia kuna full moon nini sijui
Najiandaa kuelekea wavuvi
Unayajua 🤣🤣🤣My wii 😂😂
Maoni gani Tena 😀
Kudadeki,tukutane wavuviNipo soko la Samaki hapa
Bas nalala😂😂Unayajua 🤣🤣🤣
Si tumekubaliana ulale
Mpigie kaka akubembeleze ulale 😂😂😂Bas nalala😂😂
Labda aisee 😀😀Mpigie kaka akubembeleze ulale 😂😂😂
Umeongea kama wewe ndio mmiliki WA Jamii Forum..au kama Una genge lako ambalo mkipost nyuzi hamtaki tusiwakosoe,ninyi ndio mnajifanya wajuaji...mnajiita akili kubwaMiaka michache nyuma nilisema kuwa Jf inatakiwa kubaki na tag ya "where we dare to talk openly" Ila home of great thinkers badhaai Era yake ipo mwishoni na hivyo kulifanya jukwaa kutoakisi hicho kitu.
Natamani maxcence na mushi wangeweka quality control, mfano baadhi ya threads au forums ziruhusiwe kwa watu maalumu tu ambao wamekidhi vigezo flani kutokana na uwezo au haiba zenye ustaarabu wa kutoharibu mijadala.
Hao watu wawe kama panelists huku wengine wawekewe utaratibu aidha wa kuweka comments ndani ya comments pasipo kufanya interruption ya mada husika. Mfumo ambao upo kwenye Twitter spaces
Hii itasaidia intruders kutoharibu mijadala na hivyo kuwapa uwanda mpana zaidi wataalamu kumwaga madini yao pasipo dhihaka ama matusi ambayo yanawakatisha tamaa kiasi cha kususia mijadala hivyo, kukosa ile ladha ya mijadala bora ya jf.
Maxcence akumbuke tu, Jf ni user generated content ambazo ni za maandishi zaidi hivyo, wengi wanaoingia humu hawatarijii jazba na uzushi usio na mipaka kuliko hard facts.
Akiamua hali hii iendeleee pasipo kutafuta namna ya kuokoa hii hali ni wazi, jf itakosa ile ladha ama mvuto wake na hivyo kuchukuliwa kama social media platforms kama Facebook which is not right
Maji yamerejea au kirikou jasiri 🤣🤣🤣Labda aisee 😀😀
ngoja nimcheck aniimbie hata ule wa kirikuu 😀😀😀
😂😂😂Yote my wiiMaji yamerejea au kirikou jasiri 🤣🤣🤣
Eee hatareee 🤣🤣🤣😂😂😂Yote my wii
Mbn nilikua hapo odel msasani beach,, ulikua home kabisa Rafiki ,ukauchunaNipo soko la Samaki hapa
Hahaha.....mm huwa ni msema kweli huwa siangalii Nani namwambia ukweli...haha aisee hiyo ban ya maisha ulimtukana mod nini?