Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Wee sema kweli?? Lol mbona hatari sana hio🤔!
Pole yake asee !
Mke wa msoja...😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee sema kweli?? Lol mbona hatari sana hio🤔!
Pole yake asee !
Ndio nilikua sijui!Unataka kusema ulikua ujui au unajishebedua tu hapo nyuma ya keyboard
Miaka yote nakuona humu ulikua ujui....uongo mtupuNdio nilikua sijui!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanza mahondaw ndo wewe https://jamii.app/JFUserGuide shenzi type penzi lenu liliishia wapNdio nilikua sijui!
Santo sana kwa ufafanuzi eightpipo!
weeee kumbe nawe wa muda humu ehh?? Ndio nilikua sijui!Miaka yote nakuona humu ulikua ujui....uongo mtupu
Nimefurah kukuona tena aiseee nilijua mjeda labda alikudhuruweeee kumbe nawe wa muda humu ehh?? Ndio nilikua sijui!
Jamani jamani jamani😂😂😂🤭hahah vingine vikupite mjukuu hahah
Hio shenzeee vepe tena kwanza!!! Kwemaaa???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanza mahondaw ndo wewe JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala shenzi type penzi lenu liliishia wap
Kwema Mungu anasaidia vipi bado una watoto wawili au uliongeza?bado uko bukoba?Hio shenzeee vepe tena kwanza!!! Kwemaaa???
Forever and always ✌️!Nimefurah kukuona tena aiseee nilijua mjeda labda alikudhuru
Hio shenzeee vepe tena kwanza!!! Kwemaaa???
Sawa bwana malezi yanaendajeForever and always [emoji3577]!
Sijadhuriwa na yeyote hahaha [emoji851]!
Hatareee 🤣😂🤣🤣😅😅😅😅 Madanga wanarushwa kama mitungi ya gesi kwenye lorry asee selfika haha ilikuwa noma daaah. 😆😆
Mungu ni mwema Nishaongeza wa tatu ako na 5 months now!!Kwema Mungu anasaidia vipi bado una watoto wawili au uliongeza?bado uko bukoba?
Ulimisika pia. Sikuhizi ile kona siioni tenaNamie ndo natia maguu saii hebu nipitie koments nione vituko vya jf!
Karibu sana brayoo ulimisika sana!
Wee usinambie kwani kina nani hao?🤣🤣🤣Wale machangudoa wa 3 weusi waliopewa gono na mzee wa miongozo walikuwa wanamshambulia na vitu vya kijinga in short walikuwa na inferiority complex yule mzee aliwajaza ujinga kumbe walikuwa wanazungukwa bila kujua anyway ndo hivyo tena na zile ratiba zao za kuliwa gym si unakumbuka? 😝😝😝😝😝
UMASKINI NA TAMAA UTAWADHALILISHA MPAKA WATAKAPOINGIA KABURINI 🤣🤣🤣🤣😆
Anyway yalishapita hayo na kila mtu alishinda mechi zake 😄☺️.
Yako vyedi mkuu saivi nishakua mzoefu wa kulea tofauti na nilivokua na 1st born!Sawa bwana malezi yanaendaje
Hopefully mjeda hajui yale mambo ...eneweiz naamini tu ni pepo mbaya alikupitia.....huyu wa 3 ni wa kiume au kikeMungu ni mwema Nishaongeza wa tatu ako na 5 months now!!