Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Mtu hadi anakuwa single mother kunakuwa na sababu ?
Hiyo sababu inaweza kuwa mbaya au nzuri... Ila tatizo lipo
 
Hawa single mother bora wabaki na mpenzi wake yuleyule aliyemzalisha, kwanini alimpenda in the first place?
 
Vipi yule mtoto aliyechukuliwa na Samia kumbe baba wa mtoto ana uwezo wa kujitokeza akamshitaki Rais? Au nimeelewa sivyo ndivyo!?
Yule kesi yake ni tofauti. Amechukuliwa kama mtoto yatima. Mtoto wa single mother ambaye baba yupo hai huyo sio mtoto yatima.
 
Tatizo liko wapi kuoa Mwanamke aliyewahi kuolewa, ndoa zinavunjika kama mambo mengine tuu, wewe ukiachana na mkeo Ina maana hautakiwi kuoa tena? naona double standard hapa acheni mawazo ya kishamba
Historia ya mtu ni predicting measure ya future yake. Kwahiyo katika kufanya vetting ni muhimu pia kuangakia past ya mtu
 
Wanajifariji mitandaoni hao kujikuta levels huku nje tuko nao bampa to bampa😅
Embu ongea ukweli bila unafiki. Unaweza ukafurahia kuona kaka au mtoto ako ambae hana mtoto anaoa single mother na kuwa baba wa kambo ikiwa baba mtoto yupo hai?
 
Kuwa single mother tu tayari ni indicator ya mwanamke kutojitambua. Mwanamke ndie gatekeeper wa sex na fertility. Hakuna kinachowezekana hapo bila mwanamke kuruhusu vinginevyo awe amebakwa.

Na kwa mwanamke yoyote anaejitambua atajua wakati salama kwake kubeba mimba ni mpaka pale mwanaume atakapomuoa rasmi.

Sasa kama mwanamke anaejitambua anashindwa kujua kitu kidogo kama hicho, basi inabidi tutafute definition nyingine ya ilo neno "kujitambua"
 
Embu ongea ukweli bila unafiki. Unaweza ukafurahia kuona kaka au mtoto ako ambae hana mtoto anaoa single mother na kuwa baba wa kambo ikiwa baba mtoto yupo hai?
Nashindwa kuimagine kumuwazia kaka yangu kuoa mwanamke mwenye mtoto, kaka zangu waliooa single mazas sijawahi kuwawaza na sijawahi kuona tatizo lolote! Nina marafiki single mazas wameolewa pia sijaona shid avilevile na wanaenjoy ndoa zao as usual..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…