Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Sidhani kama mtu anaweza kufanya hivi, sijui huyo mtu atakuwa ana akili gani huyo (kama ulivyosema ni ukichaa mwingine)may be ana maana nyingine maana kutoka D then R wakati gari inatembea ni ukichaa mwingine. Tumsubili atoe ufafanuzi
Gari ya auto transmission ikiwa inajongea mbele gear ya reverse hai engage.Sasa mkuu kwenye automatic ukiwa uko kwenye D halafu unaraka urudi ntuma si utasimama kwanza ndio upeleke Gear Lever kwenye R?? au ni automatic ipi wewe unayodhani
Kipengele namba 4. Ulichoongelea kutoka D kwenda R wakati gari linatembea, ulivoeleza sio sahihi,Yeah ni kweli nimecopy kutoka swahilitech.com ndio maana mwisho pale nimewapa credits...(Sio mimi kama mimi ndio nimeandika yote hayo...Nina uelewa wa level ya kati ya gari..ndio maana nikaleta humu nami NIJIFUNZE PIA)
Gari ya auto transmission ikiwa inajongea mbele gear ya reverse hai engage.
Sasa kwa muktadha huo huna sababu ya kumtahadharisha dereva kwa swala hilo.
Ukiwa unashuka mlima ukitumia L1 ina maana umeipangia gari yako isi engage gear zaidi ya "dally kimoko" ukitupia L2 automatically gari yako itacheza na gear namba moja na namba mbili tu.
Ukitupia D ina maana umeiruhusu gari yako kuisoma akili yako kupitia pedal ya mafuta na pedal ya break.
Ukikamua mafuta mengi sana gari itaondoka na escaping velocity. I.e itapanga gear fasta kulingana na pulling ya engine ya gari yako.
Hali kadhalika ukikanyaga pedal ya break ndivyo gearbox itapangua gears automatically ku suite mwendo wa gear unaoukusudia.
Kipengele namba 4. Ulichoongelea kutoka D kwenda R wakati gari linatembea, ulivoeleza sio sahihi,
Tukianzia kwenye gari la manual, wakati linayembea huwezi ingizi revers gear, ukijaribu kuingiza inakwangua sana na kamwe haitakubali kungia, hiyogear ndani ya gearbox inazunguka anticlockwise, hivo ni mpka gari lisimame ndo inaingia"
Tukirudi kwenye mada, hizi gari za outo zimeadvance zaidi kitecnologia na hata kiutendaji, kumbuka hizi gari kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na systeam ya umeme, na zinakuwa na controlbox ambayo ndo brain ya gari,
Unavoshift gear ukiwa unaendesha unakuwa ni umeswitch tu umeme ambao utatuma taarifa kwenye controlbox ya gearbox halafu controlbox ndo itaruhusu gearbox kuingage hicho ulicho aply, yote haya hufanyika kwa nukta hiyo hiyo! ( kuna gearbox ambazo zina waya za umeme tu zilizoingia ndani yake, na kuna zenye gear linked pamoja na waya hizi ndo za kizamani kdg)
Kwenye manual ukiingiza revers wakati unaenda mbele, kwa mfano gia ikiingia ama itakata crankshaft au gearbox yote ivurugike ivunje meingear,
Kwa outo yenyewe ni tofauti ( ina akili) haihitaji nguvu wala ushindani, uki apply revers wakati inaenda mbele, itashift vzr tena kirahisi tu, lakini controlbox itaondoa taarifa ya mwanzo (kwenda mbele) na haitatuma taarifa ya pili (revers) kwa sababu tu haijafuata procedure. Hivo gari itabaki NEUTRAL hata ukipoga resi na shifter ipo kwe revera itaendelea kuserereka kwenda mbele. Ni mpaka usimame ushift tena ndo itarespond. Na huu ndo mfumo wake wa kujilinda dhidi ya vilaza!
Tuseme ikiw inaselelekaIlo la kwanza hata mi sijamsoma, ila kuhusu gear ya mbele kwenda nyuma ni kwamba, usihamishe ile knob kutoka kwenye D (drive) kwenda R (reverse) wakati gari ikiwa inatembea...
Huo mfumo wa kujilinda huitwa "double interlocking system"Kipengele namba 4. Ulichoongelea kutoka D kwenda R wakati gari linatembea, ulivoeleza sio sahihi,
Tukianzia kwenye gari la manual, wakati linayembea huwezi ingizi revers gear, ukijaribu kuingiza inakwangua sana na kamwe haitakubali kungia, hiyogear ndani ya gearbox inazunguka anticlockwise, hivo ni mpka gari lisimame ndo inaingia"
Tukirudi kwenye mada, hizi gari za outo zimeadvance zaidi kitecnologia na hata kiutendaji, kumbuka hizi gari kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na systeam ya umeme, na zinakuwa na controlbox ambayo ndo brain ya gari,
Unavoshift gear ukiwa unaendesha unakuwa ni umeswitch tu umeme ambao utatuma taarifa kwenye controlbox ya gearbox halafu controlbox ndo itaruhusu gearbox kuingage hicho ulicho aply, yote haya hufanyika kwa nukta hiyo hiyo! ( kuna gearbox ambazo zina waya za umeme tu zilizoingia ndani yake, na kuna zenye gear linked pamoja na waya hizi ndo za kizamani kdg)
Kwenye manual ukiingiza revers wakati unaenda mbele, kwa mfano gia ikiingia ama itakata crankshaft au gearbox yote ivurugike ivunje meingear,
Kwa outo yenyewe ni tofauti ( ina akili) haihitaji nguvu wala ushindani, uki apply revers wakati inaenda mbele, itashift vzr tena kirahisi tu, lakini controlbox itaondoa taarifa ya mwanzo (kwenda mbele) na haitatuma taarifa ya pili (revers) kwa sababu tu haijafuata procedure. Hivo gari itabaki NEUTRAL hata ukipoga resi na shifter ipo kwe revera itaendelea kuserereka kwenda mbele. Ni mpaka usimame ushift tena ndo itarespond. Na huu ndo mfumo wake wa kujilinda dhidi ya vilaza!
DuuhhNamaanisha gari likiwa linatumika kwenye spidi kali..yaani kubadili gia chapchap..kama hivo D UENDE R HAPO KWA PAPO
Nashukuru mkuu kwa kuweka sawa"Huo mfumo wa kujilinda huitwa "double interlocking system"
Embu husianisha na point number 4.. halafu pia kutoka D mpaka R gari ikiwa kwenye motion inawezekana kama G 25 na jogi walivyodadavua..mi yenyewe nlkuwa nabishaDuuhh
Labda mwehu ndio anaweza kufanya hivyo.
Yaani D uipandishe mpaka kwnye "R"
Kwa kutaka nini sasa!?
Mimi nilivyomiulewa ni kwamba, hakikisha unaweka gear gari ikiwa imesimama kabisa (haiseleleki)
Wengi unakuta wanaweka D au R iikiwa inaseleleka taratibu
Anamaanisha usitoe gear no 2 ukaweka D ( na vice versa ) wakati gari iko kwenye motion japokuwa sioni kama ni tatizo ..Mimi huwa ndo ninavyoendesha hivyo miaka yote lakini sijawahi pata tatizo lolote na geabox.. Huwa napenda kuondoka na gear no 2 then ikichanganya natupia D hapo ni murua kabisa..
Hiyo namba 5 ni matumizi mabaya ya mafuta hata watengenezaji wanakataza. Unawasha gari lako unaondoka zako. Likiwa la baridi usiondoke na moto mkubwa au ku Rev engine. Hayana matatizo. Pump za vimiminika zinafanya kazi wakati engine ikiwaka tu na kila sehemu oil ishafika. Soma manuals za gari kama unazo utapata ninachosema.Teknolojia ya vyombo vya usafirishaji inabadilika kwa kasi sana kadri miaka inavyokwenda. Leo hii makampuni mengi yanayotengeneza magari yanazalisha magari mengi yenye uwezo wa kujibadilisha gia yenyewe (Automatic Transimission Cars) tofauti na hapo zamani.
Kuna tofauti kubwa sana ya kiutendaji kati ya magari haya ya automatic na yale ya manual. Magari haya ya automatic ni rahisi sana kuyaendesha kwa kuwa sehemu kubwa ya mfumo wa utendaji wake ni wa kisasa kabisa. Ila kuna vitu vya msingi usivyotakiwa kufanya wakati unaendesha magari haya ili kuongeza maisha ya gear box (Transmission Box).
1. Usipaki gari lako bila kubana Parking Brake
Mara nyingi madereva wamekuwa wakipaki magari yao kwa kuweka transmission handle kwenye herufi P, bila ya kuengege Parking Brake. Kama wewe ni mmoja wao tafadhali acha kufanya hivyo kwa sababu Parking Pawl, kichuma kinachoizuia gari kuondoka wakati imewekwa kwenye Park ni kidogo sana na hakijatengenezwa kwa kazi hiyo. Hivyo ikitokea mtu akaligonga gari lako kidogo kuna uwezekano mkubwa wa gari lako likaanza kutembea kama ulikuwa hujalizima. Pia kipande cha Parking Pawl kilichovunjika kinaweza kikaleta matatizo makubwa katika gear box yako.
2. Epuka kutumia Gear kubwa kama brake
Mara nyingi wakati unashuka milima mkali na gari ya manual huwa tunashusha gari katika gear kubwa kama namba 2 au 1 ili kupunguza kasi ya mwendo. Usijaribu kufanya hivyo kwa gari ya automatic transmission, kwa sababu itasababisha kuchubuka na kulika kwa vyuma vya ndani ya transmission box na kuleta usumbufu hapo baadae.
3. Usibadili Gear wakati mzunguko wa engine wa gari ni mkubwa
Kubadili gear wakati mzunguko wa engine wa gari lako ni mkali ni kitu kibaya kwa sababu itasababisha kulika kwa clutch plates za ndani ya gear box yako na kukuletea matatizo hapo baadae.
4. Usibadili Gear ya mbele kwenda ya nyuma moja kwa moja au ya nyuma kwenda ya mbele moja kwa moja bila ya kusimamisha gari kwanza
Simamisha gari lako kabisa kabla ya kuamua kubadili gear ya kutoka mbele na kurudi nyuma au vinginevyo. Kufanya hivyo bila kusimamisha gari lako kutapelekea uharibifu mkubwa katika gear box yako.
5. Hakikisha engine inapata joto la kutosha kabla ya kuanza kuendesha gari lako
Kama ulilipaki gari lako muda mrefu sana no bora ukaliacha kwa muda baada ya kuliwasha ili engine ipate joto la kutosha na kufanya vimiminika vyote vya katika gari kutawanyika na kufika katika maeneo husika katika kiwango stahiki.
6. Usipitishe muda wa kufanya service mara kwa mara
Wengi tumekuwa na tabia ya kupitisha muda wa kuyafanyia service magari yetu mara kwa mara. Maisha na ubora wa gari lako hutegemea sana muda wa service hasa kubadili oil za engine na transmission box, brake pads, air filter na vingine vingi.
Karibuni kwa nyongeza na hoja nyingine kama zipo tujifunze
Credits: www.swahilitech.com
Mkuu ulichoongea ni sahihi kabisa kwa ushuhuda nkishawah pata ajali kwa namna hii hii ambapo gari ilifelibrake na hand brake yake ilikua ya kukanyag (it was noah) nimefka kweny kilima nkawa sipat brek so nkafkiria nkakanyaga handbrake nayo kumbe haikua nzima (kipind hko gari iko polepole haijachanganya) ilivozidi kusonga nkaamua tu kuweka revarse gear maananlichanganyikiwa na gari ilikua inachanja mbuga so nkaweka revarse lakn cha ajab gari ilikua kama vile ipo neutral. So akili iliofuata ilikua ni kucheza na usukan mpaka mwisho ikapngza speed nkatafta kigogo cha kwenda kugota na hapo ndo ilikua salama yangKipengele namba 4. Ulichoongelea kutoka D kwenda R wakati gari linatembea, ulivoeleza sio sahihi,
Tukianzia kwenye gari la manual, wakati linayembea huwezi ingizi revers gear, ukijaribu kuingiza inakwangua sana na kamwe haitakubali kungia, hiyogear ndani ya gearbox inazunguka anticlockwise, hivo ni mpka gari lisimame ndo inaingia"
Tukirudi kwenye mada, hizi gari za outo zimeadvance zaidi kitecnologia na hata kiutendaji, kumbuka hizi gari kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na systeam ya umeme, na zinakuwa na controlbox ambayo ndo brain ya gari,
Unavoshift gear ukiwa unaendesha unakuwa ni umeswitch tu umeme ambao utatuma taarifa kwenye controlbox ya gearbox halafu controlbox ndo itaruhusu gearbox kuingage hicho ulicho aply, yote haya hufanyika kwa nukta hiyo hiyo! ( kuna gearbox ambazo zina waya za umeme tu zilizoingia ndani yake, na kuna zenye gear linked pamoja na waya hizi ndo za kizamani kdg)
Kwenye manual ukiingiza revers wakati unaenda mbele, kwa mfano gia ikiingia ama itakata crankshaft au gearbox yote ivurugike ivunje meingear,
Kwa outo yenyewe ni tofauti ( ina akili) haihitaji nguvu wala ushindani, uki apply revers wakati inaenda mbele, itashift vzr tena kirahisi tu, lakini controlbox itaondoa taarifa ya mwanzo (kwenda mbele) na haitatuma taarifa ya pili (revers) kwa sababu tu haijafuata procedure. Hivo gari itabaki NEUTRAL hata ukipoga resi na shifter ipo kwe revera itaendelea kuserereka kwenda mbele. Ni mpaka usimame ushift tena ndo itarespond. Na huu ndo mfumo wake wa kujilinda dhidi ya vilaza!
Yeah hivo ndivo ilivo, pole sana mkuu' siku nyingine ikitokea dharura kama hiyo, unachotakiwa kufanya ni kushift leaver kwenda kwenye gia kubwa kutoka D unaenda D2 mpaka kwenye L, gari litapunguza mwendo kabisa! Na hizi gia zinabadilishika kulingana na mwendo, ukizikosea labda upo 90km ph. Halafu ukashift mpaka kwenye L. Kumbuka outo haiwezi kujiharibu yenyewe ( ina akili) itasitisha hiyo taarifa (kama si salama) na gari litabakia neutral.Mkuu ulichoongea ni sahihi kabisa kwa ushuhuda nkishawah pata ajali kwa namna hii hii ambapo gari ilifelibrake na hand brake yake ilikua ya kukanyag (it was noah) nimefka kweny kilima nkawa sipat brek so nkafkiria nkakanyaga handbrake nayo kumbe haikua nzima (kipind hko gari iko polepole haijachanganya) ilivozidi kusonga nkaamua tu kuweka revarse gear maananlichanganyikiwa na gari ilikua inachanja mbuga so nkaweka revarse lakn cha ajab gari ilikua kama vile ipo neutral. So akili iliofuata ilikua ni kucheza na usukan mpaka mwisho ikapngza speed nkatafta kigogo cha kwenda kugota na hapo ndo ilikua salama yang
sure mkuu asanteh sanaYeah hivo ndivo ilivo, pole sana mkuu' siku nyingine ikitokea dharura kama hiyo, unachotakiwa kufanya ni kushift leaver kwenda kwenye gia kubwa kutoka D unaenda D2 mpaka kwenye L, gari litapunguza mwendo kabisa! Na hizi gia zinabadilishika kulingana na mwendo, ukizikosea labda upo 90km ph. Halafu ukashift mpaka kwenye L. Kumbuka outo haiwezi kujiharibu yenyewe ( ina akili) itasitisha hiyo taarifa (kama si salama) na gari litabakia neutral.
Utaona taa ya brake kwenye dashboard, pindi unapoona hiyo taa imewaka chunguza gari lako kwenye pedal ya brake kama kuna leakage yeyote na chini kwenye matairi kwa upande wa ndani, kama hakuna leakage kabadilishe brake pads, hii inaapply kama tu unazingatia kipimo cha brakefluid (usizidishe max) ni kwamba kwenye container ya mafuta ya brake level itakuwa imepungua kwasababu mafuta yameenda mengi kwenye brakepistons kucover kiasi cha brakepads kilicholika, kuongeza ongeza mafuta ya brake bila ukaguzi kutaifanya gari ishindwe kukupa taarifa sahihi pindi brakepads zikiisha'uzi mzuri sana huu... nisaidieni nitajuaje kama brake padel zangu zimeiaha ili niweke nyingine??
Hiyo namba 5 ni matumizi mabaya ya mafuta hata watengenezaji wanakataza. Unawasha gari lako unaondoka zako. Likiwa la baridi usiondoke na moto mkubwa au ku Rev engine. Hayana matatizo. Pump za vimiminika zinafanya kazi wakati engine ikiwaka tu na kila sehemu oil ishafika. Soma manuals za gari kama unazo utapata ninachosema.