Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mkuu chukua gari hapo manual, endesha mpaka gear namba tatu alafu kwenye kuingia gia namba 4 jifanye kupeleka kwenye reverse (kitakachotokea ni kelele flan - ipo protected waliotengeneza gari wanajua madhara yake ndo maana wakafanya hivyo, the same automatic gear, utasogeza gear zote wakati linatembea lakini reverse itagota)manual rivas inaingia vizuri tu
Usihofu mie mwenyewe nimepitia huko sio dereva mzuri sana ila najua kuendesha changamoto hizo nilipambana nazo, yaani bora hata wewe umeanzisha uzi mwenzako nilikuwa kimyakimya yaani naendesha gari ikifika gear namba 3 kwenda 4 naweka gear huku nauma meno yaani kwa makini isiende reverse ndo dereva aliekuwa ananachia gari kugundua sipigi gear vizuri hasa namba 4 akaniambia nisihofu na kuanzia hapo nika gain confidenceNi kweli mkuu...gari sijaendesha sana..nipo katika hatua za mwanzo mwanzo..kwa hiyo siyo kila kitu najua.....Ushanifahamu
Kweli kweli aisee, kupitia uzi huu nitajifunza mambo mengine mapya.....Usihofu mie mwenyewe nimepitia huko sio dereva mzuri sana ila najua kuendesha changamoto hizo nilipambana nazo, yaani bora hata wewe umeanzisha uzi mwenzako nilikuwa kimyakimya yaani naendesha gari ikifika gear namba 3 kwenda 4 naweka gear huku nauma meno yaani kwa makini isiende reverse ndo dereva aliekuwa ananachia gari kugundua sipigi gear vizuri hasa namba 4 akaniambia nisihofu na kuanzia hapo nika gain confidence
Mie hata pikipiki miaka ya zamani nilikuwa nikishuka mlima naweka free nashuka na break nilikuwa nadhani nikishuka ipo kwenye gear ndo itashuka kwa kasi (haya mambo yanahitaji kuwa wazi kwa kutoa kile unachokifahamu na wengine wanajazia) Na ndio maana uzi wako umeleta vitu vingi ambapo wengine wamejifunza lakini pia na wewe umejifunza.
atakama gari yako unaiyamini kiasi gani ni muhimu kila siku kucheck kiwango cha oil kama kipo sawa.Kuhusu ufundi mimi sio fundi Gari...nina idea kidogo ya kuendesha gari na nipo katika kujifunza
Hii taarifa source yake ni swahilitech.com kwa hiyo usifikiri labda vyoote ni mimi nimeandika
at
atakama gari yako unaiyamini kiasi gani ni muhimu kila siku kucheck kiwango cha oil kama kipo sawa.
Hio parking brake ndo ipi mkuu,u mean hand brake ama?Yeah ni kweli nimecopy kutoka swahilitech.com ndio maana mwisho pale nimewapa credits...(Sio mimi kama mimi ndio nimeandika yote hayo...Nina uelewa wa level ya kati ya gari..ndio maana nikaleta humu nami NIJIFUNZE PIA)
Ndio hivo Hand brake..Emergency brake..Parking brake✔✔Hio parking brake ndo ipi mkuu,u mean hand brake ama?
hapana mkuu kuna gari zingine gear zimejipanga kutoka P,R,N,D,D1,D3 nk sasa watu wengine huwa wanatabia ya kutoka D KWENDA N Gari ikiwa kasi sana kwa imani kuwa gair ikiwa neutral ina save matumizi ya mafuta sasa kwa bahati mbaya unakuta mtu anatoka D kwenda R.may be ana maana nyingine maana kutoka D then R wakati gari inatembea ni ukichaa mwingine. Tumsubili atoe ufafanuzi
usikariri wewe dunia ina badilika na technologia in abadilika pia ,je umewahi kutumia smartphone au bado upo na simens ya mkonga ?Hongereni wanaume mnaoendesha magari automatic..hahahahhhhaahha.
hongera sana na endelea kuendesha auto..ukipaki na shemeji nae anaendesha hahaha siku unakuta kasahau lipstic yake..hongeraaausikariri wewe dunia ina badilika na technologia in abadilika pia ,je umewahi kutumia smartphone au bado upo na simens ya mkonga ?
akili ndogo kwa hiyo ulitaka gari zote ziwe manual.hongera sana na endelea kuendesha auto..ukipaki na shemeji nae anaendesha hahaha siku unakuta kasahau lipstic yake..hongeraaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Isije ikawa ka copy sehemu kaja kapaste humu halafu ukute hajui hata kinachomaanishwa!
Kwani tatizo nn mkuu mi si nimewapongeza tu wanaume na ndevu zenu kuendesha automatic!? Si mseme tu ahsanteakili ndogo kwa hiyo ulitaka gari zote ziwe manual.
Dah... Nadhani ana maana Kwamba....kwa mfano.. .unataka kugeuza gari lako.....unaweka R unarudi nyuma... Sasa kabla ya kuweka D hakikisha gari limesimama kabisa ndiyo uweke D..... Siyo kama manual ambayo unaweza kurudi nyuma na kabla haijasimama ukaweka gia za mbele na ukaitumia klachi Kama breki [emoji15] [emoji15]may be ana maana nyingine maana kutoka D then R wakati gari inatembea ni ukichaa mwingine. Tumsubili atoe ufafanuzi
Hivi 2 ni gear maalum kwa ajili ipi maana mimi huwa naiona kama pambo.Anamaanisha usitoe gear no 2 ukaweka D ( na vice versa ) wakati gari iko kwenye motion japokuwa sioni kama ni tatizo ..Mimi huwa ndo ninavyoendesha hivyo miaka yote lakini sijawahi pata tatizo lolote na geabox.. Huwa napenda kuondoka na gear no 2 then ikichanganya natupia D hapo ni murua kabisa..
Hii ni kwa kufuta mpangilio wa gia jinsi zilivopangwa mkuu! Na mwendo, kwenye outo ukikosea gari linabaki neutral, unavotumia gia kupunguza mwendo kinachotokea ni badala ya ingine kuendesha gari, sasa ni ingine ndo inayozuia gari lisiende, sasa kama mwisho wa injin ni RPM 6000 na upo kwenye D unaendeshea rpm 3000 ukirudisha kwenye D2 ( changedown) utaona rpm inapanda, sasa kama ukitoka D uko speed ukashusha gia leaver mpaka L. ambapo ikikubali kufanya kazi RPM ya injin italazimishwa kufikia zaidi ya 6000 (ambayo ni nje ya kipimo) haita kubali itajiacha neutral"G.25
Hii elimu kubwa saana, naomba nikushukuru maana pia umenifungua ufahamu wangu kuhusu magari pia. Labda iweke vizuri hii elimu, gia umetaja mbili za kuteremkia mlima mkali D2 mpaka L.
"unachotakiwa kufanya ni kushift leaver kwenda kwenye gia kubwa kutoka D unaenda D2 mpaka kwenye L"
Hebu weka vyema D2 na L ndiyo za kushukia mlima au ulikuwa unaelekeza avuke D2 kuelekea kwenye L ambayo ndiyo gia ya kushukia mlima mkali??
Natanguliza shukrani mkuu