Nimekusoma mkuu! Kutoka D kwenda R kuna N. Na N hatukuwa tukiiongelea kwani Hoja iliokuwepo ni kutka d kwenda r. Mkuu ni hivi hizi outto za kisasa zaidi (ikiwa kwenye speed kubwa) ile gear leaver unaweza kuipeleka popote hata kwenye P' na gari halitasimama kama wengi wanavofikiri!Sasa mkuu mbona mnanichanganya wewe na G.25 yeye amesema ukishift kutoka R kwenda D gari likiwa kwenye motion haina shida linakubali bila hata ya kusimama!!... Which is which?? Ni mimi sijamuelewa au nimeQuote vibaya...mkuu G.25 karibu
Mh! Hiyo from D to P lazima uue mfumo mzima wa transmission na Engine. Maana unapoweka P kunakuwa na kama chuma ambacho kinakaa katikati ya meno (gears). Ndio maana basi gari ikikaa kwenye P hata uvute na Greda hautapata mzunguko wa tairi. Sana sana gari itasota tu kwa uelekeo wowote ule. Sasa from D to P maana yake meno ambayo kwa muda huo yapo kwenye mzunguko mkubwa halafu ukaweka chuma katikati yake, huo msagiko wake hauna mfano.Nimekusoma mkuu! Kutoka D kwenda R kuna N. Na N hatukuwa tukiiongelea kwani Hoja iliokuwepo ni kutka d kwenda r. Mkuu ni hivi hizi outto za kisasa zaidi (ikiwa kwenye speed kubwa) ile gear leaver unaweza kuipeleka popote hata kwenye P' na gari halitasimama kama wengi wanavofikiri!
kuna vitu hufaham kumbuka manual haina computer yoyote kwa ajili ya gia zake ukiwa na gar manual kabisa acha hizi semi auto ....naongelea manual manual ukiwa hata namba tano au sita na iko spidi ukaweka no moja au mbili inaenda kabisa ila kitakacho kutokea utakuja kutuadisia ....nishapanda tax mtu akatoa no tano akijua anaweka nne kumbe katupia mbili uzuri mwalim aliwah kanyaga cluth....lilikuwa gari la driving xul ila kilichotokea ni brake moja kidogo tutoke nje uzuri gia box haikuharibika wala chochote maana hiyo no tano haikuwa imekolea spidi ilikuwa kama 50hiviHii ni kwa kufuta mpangilio wa gia jinsi zilivopangwa mkuu! Na mwendo, kwenye outo ukikosea gari linabaki neutral, unavotumia gia kupunguza mwendo kinachotokea ni badala ya ingine kuendesha gari, sasa ni ingine ndo inayozuia gari lisiende, sasa kama mwisho wa injin ni RPM 6000 na upo kwenye D unaendeshea rpm 3000 ukirudisha kwenye D2 ( changedown) utaona rpm inapanda, sasa kama ukitoka D uko speed ukashusha gia leaver mpaka L. ambapo ikikubali kufanya kazi RPM ya injin italazimishwa kufikia zaidi ya 6000 (ambayo ni nje ya kipimo) haita kubali itajiacha neutral"
Kama ilivo kwa manual, ikiwa gear namba 5 iko speed, ukataka kuingiza namba moja haitakubali, na sababu ni kama ikiingia inaenda kupandisha rpm ya ingin nje kabsa ya kipimo, lazima kimoja kiharibike, injin au gearbox! Kiufupi usiruke gia wakati wa changedown ukiwa kwenye mwendo mkubwa haitakubali iwe manual au outo"
Mkuu ile P sio brek! Nakuhakikishia ukiwa speed kubwa kwa bahati mbaya\makusudi ukaweka P, utasikia kimlio flan tu na gari halitasimama kama unavodhani! Na ukiendelea hivo mpaka ukaamua kusimama kwa brek ya kawaida ikiwa hujaitoa P, ile P haifanyi kazi, ukilisukuma gari linaenda" ni mpka uihamishe leaver ndo itaanza ku respond tena. Kwa hizi outo za kisasa pale unaposhift gear ni waya tu za umeme ndo zinazo ingia, kule kwenye gearbox zinaenda comand za kielectronic tu, outo haishindani na dereva, kuna baadhi ya magari wakati linatembea gearleaver inaishia kwenye netral tu kule kwenye R na P panakuwa locked, na niyo ndo protection yao, nyingine zinashift popote unapoipeleka ila yenyewe inachakata kwenye controlbox na ikiona ulichokifanya sio inajiacha neutrol,Mh! Hiyo from D to P lazima uue mfumo mzima wa transmission na Engine. Maana unapoweka P kunakuwa na kama chuma ambacho kinakaa katikati ya meno (gears). Ndio maana basi gari ikikaa kwenye P hata uvute na Greda hautapata mzunguko wa tairi. Sana sana gari itasota tu kwa uelekeo wowote ule. Sasa from D to P maana yake meno ambayo kwa muda huo yapo kwenye mzunguko mkubwa halafu ukaweka chuma katikati yake, huo msagiko wake hauna mfano.
Si auto pekee, hata manual sijawahi ona. Hakuna mtu atafanya reverse gari ikiwa mwendo kasi labda awe mtambo!Sasa mkuu kwenye automatic ukiwa uko kwenye D halafu unaraka urudi nyuma si utasimama kwanza ndio upeleke Gear Lever kwenye R?? au ni automatic ipi wewe unayodhani
Ni kweli mkuu na ndo maana nilisema kuwa endapo itaingia na ikasababisha mzunguko wa njini RPM ukazidi ya uwezo wake kitachofuata hapo ni inji au gearbox kimojawapo kiharibike fasta ili kingine kipone!kuna vitu hufaham kumbuka manual haina computer yoyote kwa ajili ya gia zake ukiwa na gar manual kabisa acha hizi semi auto ....naongelea manual manual ukiwa hata namba tano au sita na iko spidi ukaweka no moja au mbili inaenda kabisa ila kitakacho kutokea utakuja kutuadisia ....nishapanda tax mtu akatoa no tano akijua anaweka nne kumbe katupia mbili uzuri mwalim aliwah kanyaga cluth....lilikuwa gari la driving xul ila kilichotokea ni brake moja kidogo tutoke nje uzuri gia box haikuharibika wala chochote maana hiyo no tano haikuwa imekolea spidi ilikuwa kama 50hivi
Konyagi ya wapi tena ndugu yangu...wala hata..fuatilia uzi vizuri utagundua hicho unachotaka kunikosoa kimeelezewa vizuriMbona kama umepiga nyagi ndio ukaandika uzi huu
Upo sahihi ,lakini kutoka kwenye D kwenda namba 2 wakati gari bado upo kwenye mwendo mkali ni makosa makubwa sana.kwani ni sawa na kutoka gear namba tano hadi namba mbili wakati gari ipo kwenye mwendo mkali kwa gari ya manual gear utaua gear box haraka sana, kiukweli unaeza saga meno ya gear ndogo na kuua synchroniser kabisaAnamaanisha usitoe gear no 2 ukaweka D ( na vice versa ) wakati gari iko kwenye motion japokuwa sioni kama ni tatizo ..Mimi huwa ndo ninavyoendesha hivyo miaka yote lakini sijawahi pata tatizo lolote na geabox.. Huwa napenda kuondoka na gear no 2 then ikichanganya natupia D hapo ni murua kabisa..
Upo sahihi ,lakini kutoka kwenye D kwenda namba 2 wakati gari bado upo kwenye mwendo mkali ni makosa makubwa sana.kwani ni sawa na kutoka gear namba tano hadi namba mbili wakati gari ipo kwenye mwendo mkali kwa gari ya manual gear utaua gear box haraka sana, kiukweli unaeza saga meno ya gear ndogo na kuua synchroniser kabisa
Mkuu nimekuona! Hilo gari ni aina gani? Ni la mwaka gani mkuu? Kwenye deepstick yake ya gear box ina maandishi mengine yeyote ukiacha michoro ya kuonyesha level? Kwenye kishikio chake pameandikwa nn mkuu?kuna hydrolic zinauzwa lts 4 za toyota genuene zinauzwa laki na 20 nimeambiwa ukiweka hiyo bas hufanyi seevise hadi km elf 50 hadi elf 60 je ni sahihi hilo na oil qurtz elf 5000 ni km 5000 je nanyenyewe sawa maana mimi nafanya kila mwezi nafilisha km 3500 au zaid kidogo haifiki elf 4
FactHii ni kwa kufuta mpangilio wa gia jinsi zilivopangwa mkuu! Na mwendo, kwenye outo ukikosea gari linabaki neutral, unavotumia gia kupunguza mwendo kinachotokea ni badala ya ingine kuendesha gari, sasa ni ingine ndo inayozuia gari lisiende, sasa kama mwisho wa injin ni RPM 6000 na upo kwenye D unaendeshea rpm 3000 ukirudisha kwenye D2 ( changedown) utaona rpm inapanda, sasa kama ukitoka D uko speed ukashusha gia leaver mpaka L. ambapo ikikubali kufanya kazi RPM ya injin italazimishwa kufikia zaidi ya 6000 (ambayo ni nje ya kipimo) haita kubali itajiacha neutral"
Kama ilivo kwa manual, ikiwa gear namba 5 iko speed, ukataka kuingiza namba moja haitakubali, na sababu ni kama ikiingia inaenda kupandisha rpm ya ingin nje kabsa ya kipimo, lazima kimoja kiharibike, injin au gearbox! Kiufupi usiruke gia wakati wa changedown ukiwa kwenye mwendo mkubwa haitakubali iwe manual au outo"
sema huwa amnaga shida mfano gar red line ni 6K rpm afu ukazid kwa ambazo hazina limiter amna kitakachotokea zaid ya sauti kubwa tu ya mngurumo wa injin kuwekwa redline kiasi flani cha mizunguko it doesnt mean ikifika pale inaharibika mda huo ila ni sio safe tu kufika pale ndo wakaeka operating point iwe below 6KNi kweli mkuu na ndo maana nilisema kuwa endapo itaingia na ikasababisha mzunguko wa njini RPM ukazidi ya uwezo wake kitachofuata hapo ni inji au gearbox kimojawapo kiharibike fasta ili kingine kipone!
Mkuu ulivoeleza ni sawa kwa sababu halijaharibika, mfumo wa kupooza ktk gari lolote hukadiriwa kufanya kazi kiukamilifu ndani ya RPM zilizokusudiwa, ( kimfano unaona kinachowasumbua madereva wa rally ni gari kuchemsha) injin ikizunguka zaidi ya ilivokadiriwa ni lazima itapata joto la ziada, likiwa kubwa zaidi (ikizunguka zaidi) madhara yake ni la kwanza ni kuunguza headgasket fasta,sema huwa amnaga shida mfano gar red line ni 6K rpm afu ukazid kwa ambazo hazina limiter amna kitakachotokea zaid ya sauti kubwa tu ya mngurumo wa injin kuwekwa redline kiasi flani cha mizunguko it doesnt mean ikifika pale inaharibika mda huo ila ni sio safe tu kufika pale ndo wakaeka operating point iwe below 6K
Huyu atakuwa driving school kipindi cha theory, ngoja aje ajaribu vitendo muhimbili tutakuwa tunamsubiri.Sijaelewa unaposema usibadili gear wakati mzunguko wa engine ni mkubwa wakati ni automatiki.Na uliposema tusibadili gear ya mbele kwenda ya nyuma moja kwa moja wakati ni auto.
Hebu nifanulie hapo mkuu.
Ilo la kwanza hata mi sijamsoma, ila kuhusu gear ya mbele kwenda nyuma ni kwamba, usihamishe ile knob kutoka kwenye D (drive) kwenda R (reverse) wakati gari ikiwa inatembea...
Alivokusudia hapo engine ikiwa mzunguko mkubwa mfano uko speed fulani afu ukashusha gear lakini hili ntalielezea na sehemu ya pili gari inapokuwa katika movement ukitaka kuweka opposite gear (from driving gear to reverse gear and vice versa) kwanza simama kabisa kisha ndo ubadilisheSijaelewa unaposema usibadili gear wakati mzunguko wa engine ni mkubwa wakati ni automatiki.Na uliposema tusibadili gear ya mbele kwenda ya nyuma moja kwa moja wakati ni auto.
Hebu nifanulie hapo mkuu.