Mambo ya kuepuka kijana wa kiume

Pokea maua yako mkuu, point Ipo kwenye hiyo Aya ya mwisho

"Mwanamke ni kiumbe mzuri sana, inategemea UNAISHI NAYE VIPI"
 
Kuna Demu nilikuaga naishi nae. Kuna siku alinunua kiroba cha unga cha klg 5. Wee tulivyo gombana mpaka hicho kiroba cha Unga kilitajwa kwa Asira Nika mpa elfu 6 yake ya kiroba cha unga.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtoa mada ana uswahili mwingi sana.@!! Eti bora kuishi kichakani kuliko kuishi ukweni
 
Mimi pia nilishawahi kukutwa na kadhia ya vyeti vyenye utata ilichukua miezi sita lile jambo kuwa cleared na nikarejeshwa kazini. Muda wote huo niliokuwa silipwi alikuwa anaprovide yeye. Baadaye niliporejeshwa na kulipwa mishahara yangu nilimnunulia IST new model kama zawadi ya ahsante. Ila gari pia analo hiyo IST ni yake nimemnunulia ili aendee sokoni na pia iendelee kumkumbusha kwamba wema hauozi. She is a wife material na tunaelewana sana. Ofcourse, changamoto za maisha za hapa na pale hazikosekani ila ninamuomba Mwenyeezimungu tuzeeke pamoja anizike ama nimzike.
 
Usiruhusu mwanamke akujue jue sana, usiruhusu ajue mishe zako... Asielewe lolote kuhusu wewe, ikiwezekana asijue hata jina lako unaitwa nani! Ajue tu wewe ni mume wake FULL STOP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…