Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
In Jesus name,, I command u to disappear from my site,, AmenPepo la nongo au la nini ππππ π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In Jesus name,, I command u to disappear from my site,, AmenPepo la nongo au la nini ππππ π
Pepo linataka...In Jesus name,, I command u to disappear from my site,, Amen
TokaaaaPepo linataka...
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23]Naongezea hapo
10. Usitembee na mke wa mtu
Pokea maua yako mkuu, point Ipo kwenye hiyo Aya ya mwishoWewe kwanza una mke?
Unadhani kuna mtu anapenda amtegemee mke? Kuna wakati ktk maisha giza linatanda tena ghafla. Nilitoka hero to zero.
Msaada ilikua kazi ya mke.Na sema tulikuwa tunaelewana sana,na shida zangu alizifanya kuwa zangu.
Nilikua mwajiriwa na mshahara wa milioni 1.8 take home. Mauzauza ndani wiki 5 kazi ikaisha tena serikalini.
Nimejiajiri lkn msaada mkubwa ulikuwa ni mke japo hakunipa mtaji lkn aliibeba familia na mm pia. ΓlLIIBEBA SHIDA YANGU IKAWA YAKE. SHE IS MY SUPER HERO.
NB: HAKUNA SHULE INAFUNDISHA MAISHA DUNIANI. USIYAWEKEE SHERIA
Humtegemei mke coz unajimudu yakibuma utafanya nini.
Si kwamba nimekupinga la hasha nimejaribu tu kushea kwamba kuna moment na situation huwa maisha yanabadilika tena bila kujui hali imetokea wapi.
Mwanamke ni kiumbe mzuri sana inategemea unaishi nae vipi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna Demu nilikuaga naishi nae. Kuna siku alinunua kiroba cha unga cha klg 5. Wee tulivyo gombana mpaka hicho kiroba cha Unga kilitajwa kwa Asira Nika mpa elfu 6 yake ya kiroba cha unga.
Mtoa mada ana uswahili mwingi sana.@!! Eti bora kuishi kichakani kuliko kuishi ukweniKijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote.
4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.)
5. Usimuoe mwanamke ambaye umempenda kupitiriza, ila muoe mwanamke ambaye unampenda kiasi, Ili hata siku aki ghairi mapenzi/ Ndoa. Akili yako itakua sawa na utaweza kuendelea na Maisha.
6. Mwanamke atakiwi Kujua njia zako zote za kupatia kipato au kipatochako Kiujumla. Muonyeshe baadhi ya kipato chako ila mengine yawe siri yako mpaka unaingia kaburini.
7.Usijigambe au Kujiona una mke Bora na wa maana sana, na muaminifu kuliko wanawake wengine mbele za watu.
8. Mkeo hapaswi Kujua ratiba yako kwa 100%. Ishi maisha ya kutoeleweka, na asijue Nini unafanya na kwa mda gani.
9.Unapoenda ukweni yasizidi masaa 24. Unatakiwa kuondoka, hapo ukweni.( Tumia masaa machache sana ukweni)
Note: "Bora kuishi kichakani lakini sio kuishi ktk Nyumba ya mwanamke"
vijana waleo mjifunze.
Vijana wanazalilika kwa sababu ya kutojitambua, jipambanie tafuta Mali yao, na utafute mwanamke ambaye uta mmudu, kulingana na uwezo wako, sio kutaka mwanamke ambaye wewe utaenda kuishi kwa Mwanamke, Mwanaume unakua hauna kauli.
Wadogo zangu naomba mubadilike....Msiwategemee wanawawake mtadharilika kila siku, kwa kutupiwa viboxer vyenu nje.
Mimi pia nilishawahi kukutwa na kadhia ya vyeti vyenye utata ilichukua miezi sita lile jambo kuwa cleared na nikarejeshwa kazini. Muda wote huo niliokuwa silipwi alikuwa anaprovide yeye. Baadaye niliporejeshwa na kulipwa mishahara yangu nilimnunulia IST new model kama zawadi ya ahsante. Ila gari pia analo hiyo IST ni yake nimemnunulia ili aendee sokoni na pia iendelee kumkumbusha kwamba wema hauozi. She is a wife material na tunaelewana sana. Ofcourse, changamoto za maisha za hapa na pale hazikosekani ila ninamuomba Mwenyeezimungu tuzeeke pamoja anizike ama nimzike.Wewe kwanza una mke?
Unadhani kuna mtu anapenda amtegemee mke? Kuna wakati ktk maisha giza linatanda tena ghafla. Nilitoka hero to zero.
Msaada ilikua kazi ya mke.Na sema tulikuwa tunaelewana sana,na shida zangu alizifanya kuwa zangu.
Nilikua mwajiriwa na mshahara wa milioni 1.8 take home. Mauzauza ndani wiki 5 kazi ikaisha tena serikalini.
Nimejiajiri lkn msaada mkubwa ulikuwa ni mke japo hakunipa mtaji lkn aliibeba familia na mm pia. ΓlLIIBEBA SHIDA YANGU IKAWA YAKE. SHE IS MY SUPER HERO.
NB: HAKUNA SHULE INAFUNDISHA MAISHA DUNIANI. USIYAWEKEE SHERIA
Humtegemei mke coz unajimudu yakibuma utafanya nini.
Si kwamba nimekupinga la hasha nimejaribu tu kushea kwamba kuna moment na situation huwa maisha yanabadilika tena bila kujui hali imetokea wapi.
Mwanamke ni kiumbe mzuri sana inategemea unaishi nae vipi.
11. Ogopa Single mamaNaongezea hapo
10. Usitembee na mke wa mtu
Hapana, nao ni watu na wanapaswa kupata wenza11. Ogopa Single mama
Asante mkuu11. Usifanye maendeleo yeyote kwenye familia ya mke wako unless uko tayari kusamehe utakachokiwekeza huko.