darhood
Senior Member
- Dec 29, 2013
- 116
- 192
Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza.
Maana najua comment yako utayoiachia na utapoteza muda kwa watu wanaotaka real conversation to happen.
Now.
Jambo kubwa linalosumbua jamii zetu siku hizi ni "Mahusiano".
Mapenzi ni nini? Mapenzi ni kitu gani? Kila nyimbo, kila hadithi, kila sinema, kila tamthilia…
Sasa, nitakuwa mnafiki kama nikisema hili ni swala la black and white. Baadhi ya hali ni ngumu sana, na mimi nitakuwa wa kwanza kukubaliana na hilo. Lakini naamini kwa wengi waliobaki, ni swala linaloanzia kwenye mzizi uliooza. Leo, nitafocus kwenye past ya wanawake na future ya wanaume.
Hebu nisikilize…
Binafsi, naamini kuwa mwanaume anayemtaka mwenza wake leo hii, kuangalia past ya mwanamke wake ni muhimu sana. Kuna mengine pia, lakini hii ni muhimu mnoo. Kwa wengi msiojua, past ya mwanamke inakuja na trauma. Mara nyingi, kama mwanamke alikuwa malaya (yaani amepitiwa na wanaume zaidi ya wawili na kuendelea), na wewe ukaja kumfanya kuwa mwenza wako, kuna chance ya asilimia 90 huyu mwanamke atakuletea shida baadaye. Kama sio kwa usaliti, basi kwa tabia, na kama sio tabia basi kwa mindset, kwa sababu mara nyingi huwa wanaumizwa na wanajenga "Perception" fulani kuhusu wanaume kichwani mwao, ambayo inakuwa trauma inayodumu. Tena, sio wote, lakini wengi wao. Ndio maana kuna msemo usemao "Once a rebel, always a rebel."
Anyway, sasa unaweza kuuliza, inakuaje kwa wanaume?
Bahati nzuri, katika jamii zetu, hakuna mwanamke mwenye akili timamu atakayechunguza past ya mwanaume wake kutoka kwa mtazamo wa uhusiano. Hili ni jambo lilio kuwepo tangu enzi, kwa maisha yetu hata kwa wanyama kuna hierarchy. Angalia tu kwa mfano, kwa kuku, jogoo mbabe ndiye atazunguka na kutetea wote. Kwa binadamu, mwanamke atatafuta bora, atakaemuona anafaa, mwenye malengo yatakayomridhisha. Na ikiwa haeleweki, mara nyingi atapigwa chini na kwenda kwa mwingine. Hii ni asili ya mambo. Wanawake wanahitaji mtu atakayewalinda wao na kizazi chao kwa upande wa kifedha, kijamii, na kadhalika.
Hivyo basi,
Mwisho wa siku, mwanamke akiingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye malengo yake hayapo wazi, ni kosa lake. Hana wa kumlaumu.
Vilevile, mwanaume akiingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye tayari amepitiwa na kuchezewa hovyo, makosa ni yake kwa kukurupuka.
KUMBUKA MWANAMKE ALIE LALWA NA WANAUME ANAWEZA KUBAKI NA DNA ZA WANAUME WA NYUMA BAADAE IKACHANGIA KWENYE MTOTO WAKO,. SIKU UNAJIULIZA OH MBONA KWEFU HAKUNA WEZI WALA KWA MKE WANGU KUMBE MKEO ALIWAHI PITA NA MWIZI NYUMA. NDIO MAANA BABU ZETU WALITUSHAURI SANA TUOE BIKRA LAKINI SIKUIZ ADIMU SO WAWILI AU MMOJA SI HABA ILA KAMA UTABAHATIKA BIKRA BASI VIZURI
SOMA HII....