Samahani sana kwa jibu gumu, lakini there's no such thing as kukulinda kihisia, uo ni USHOGA, na ukiona mwanaume anasupport ujinga huo mchunguze atakua shoga, Hisia zako pambana nazo, kazi yangu ni kuhakikisha unakula vzuri, unavaa vizuri, nakulinda phisically, nakuhudumia vizuri kiafya, uzae watoto wenye afya, watu mnachoshindwa kuelewa ndoa sio baby baby love you love you, ndoa ni partnership ni ushirikiano kati ya mme na mke kuhakikisha wanalea offspring ambae atakuja kua faida kwa jamii baadae... Mambo ya feeelings meee meee meee nyoko nyoko huo ni USHOGA, mwanaume wa kweli ata provide security, ata ku protect what more do you want? Emotional stuff ni ushoga, no one can deal with it zaid yenu wenyew wanawake.
Kuhusu past na future, kumbuka kwenye post nimeandika wanaume na wanawame tuna complement each other, meaning focus yako ni future ya mwanaume na focus yangu ni past ya mwanamke...
Haya tuje point ya kupigwa,
Sasa dada angu mpaka unapigwa inamaana hauku date na huyu mtu kabla ya ndoa? Kuna some cases ziko extreme lakiin those are minor cases, sote tunajua anaelinda mlango wa sex ni wewe so ni jukumu lako kujua utakae mpa mlango hatokuletea shida baadae, dunia haiko fair u have to learn to observe. Ukipata mwanaume mbaya KOSA ni lako huna wa kumlaumu, wanaume wengi wapo ila pengine UJINGA wako utakuponza ukaangukia kwa tapeli.
Kingine saaa....
Mwanaune hata akikucheat wewe kama kweli ndio chaguo lake hawezi kukuacha, mwanaume kucheat ni sawa na kukojoa tu kichakani, ni mihemko ya muda mfupi, mwanaume hata iweje kama wewe ndo chaguo lake utabaki kuwa wewe tu, so past yake in terms of mahusiano doesn't matter at all, ndio maana hata nyie hamuangaikagi hata kdgo kuangalia past ya mwanaume in terms of umalaya nk. (obviously kuna vitu muhim vya kuangalia kwa mwanaume mbali na mahusiano) lakin point yangu inalenga mahusiano kwamba past ya mwanaume doesn't matter at all. So usihangaike...
ni uzembe wako kuchagua mwanaume mpumbavu, wewe ndo unaetongozwa uta date na huyu mtu kumsoma mwenendo wake kabla ya kuolewa na utamfahamu tu.
Na sijachanganya material na tabia,
Kwasababu ukwel ni kwamba wanawake mnaangalia wanaume in terms of Security, protection, provision which include material stuff, lakin sisi tunaangalia nyuma yako kwasababu hatutaki kuja kulea watoto za watu baadae, binti malaya ni malay tu hawez kubadilika hata. So ndio maana muhim kuangalia past yenu ili tusipoteze nguvu kwa malaya.