Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Hahahaaa uko vizur sana kijana, yani Kona zote za kutoa huduma unazijua...
 
Hakuna kitu kama hicho cha kusema kwamba viongoz wa dini ndo wanaondoa dhambi, haswa wakristo wanaamini hichi kitu, uongo kabisa huo , dhambi inafutwa kwa wewe mwenyewe kujutia kwa dhambi uloifanya, kuazimia kutoirejea hiyo dhambi na kujitenga nayo , finished.
 
Muombe uliyenae vimafuta upake sehemu zako za nyuma sbb kufumaniwa ni mpango lzm wawe wamepanga na adhabu
 
Hivi kuna watu wenye uzoefu na kufumaniwa Huku unguja ukifumaniwa kuna vikosi maalum wala havihitaji malipo wanajitolea bureee kabisa
 

Mfano bila picha haunogi
 
Hahah prosess ndefu mkuuu
 
Mke Wa Mtu Sumu. Ila Izo Precautions Zote Na Measures Mlizosema Mmesahau Na Ya Kujizindika Kwa Mganga. Kuna Jamaa Kaenda Bagamoyo Kuzini Na Mke Wa Mtu Mashine Ilivyosimama Ikagoma Kulala Mpaka Akaanza Kujitangaza Alichofanya.
 
Usimpeleke mke wa MTU gesti malizaneni kwenye gari ama ghetto
 
Kuna aliyefumaniwa akatoka nduki,ilikuwa usiku kama saa sita hivi.
mwenye mali alipoona kazidiwa mbio akapiga kelele za mwizi
watu tukatoka kila mtu na silaha yake.
Yule aliyefumaniwa alipoona atauawa akaanza kupiga
kelele akisema "jamani mimi sio mwizi nimefumaniwa"
akaongeza sauti kila aliyefika eneo latukio anaishia
kucheka tu,na mfumaniaji akasema ni kweli nimemfumania.
Basi wakaambiwa wakae pembeni yakayamalize,hapo mi nikaondoka zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…