Mambo ya kufanya ukifumaniwa

bro mm ni muislam kama ulivyo ww najua unaumia jins jamaa anvyotukashf dini yetu. ila nikushsuri tu, acha kibishana nae kipuuz, mana hayajaanza leo hayo.
sometime ni bora busara uipe nafac yake.

tafadhal fanya hvyo
wanafiki nyie,yye anavyokashifu kuita wenzie makafiri MBNA husemi? tulia dawa ipenye
 
Nduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.


ha ha ha ha ha ha ha haki mna maneno haswa wavaa what
 
huyo ndo mchepukaji! ana full nondo
 
acha kupayuka kijana.
mm najua yeye ndio aliyekosea na ndio mana nkamwambia yeye direct na ckukuambia wewe coz najua yy ndio aliyekosea.
sasa we naona maneno yanakutoka namna gn...!!!???
Broo kivipi? hebu nielimishe kidogo hapa, kwani hawa jamaa sio MAKAFIRI? Ni makafiri right??? just busara zangu tu na kuamua kufuata ushauri wako maana there is no harm on that. But the fact is hawa ni makafiri, we are not here to please them and Islam is not there to please anyone. Kafiri ni kafiri tu kaka hamna namna
 
ckushangai,elimu yako kubwa n kuvaa juba tu nimekupuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…