Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Tusipangiane maisha..wewe ishi utakavyo kwenye mahusiano hakuna fomula..wengine tunaoa wake kadri tutakavyoweza.kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto uzi moja amesema alimsaidia mwanamke mmoja kwenda kununua mafuta na anahisi yule mwanamke anampenda na akaongezea anajuta kwanin alioa mapema ni moja ya vitu vya kufedhehesha sana
- Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Uzuri wa mkeo wako au muonekano wake hauwez kuwa sawa miaka yote, kuna kipindi utaondoka ni wajibu wako kuendelea kumheshimu mke wako
- Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Mbona mim sikujui mkuu sasa nawezaje kukupangia maishaTusipangiane maisha..wewe ishi utakavyo kwenye mahusiano hakuna fomula..wengine tunaoa wake kadri tutakavyoweza.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sisi wanaume tutazeeka🙏🏿Uzuri wa mkeo wako au muonekano
- Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Haya mambo hayana fomula, hata wafalme na wenye hekima yaliwashindaKabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto uzi moja amesema alimsaidia mwanamke mmoja kwenda kununua mafuta na anahisi yule mwanamke anampenda na akaongezea anajuta kwanin alioa mapema ni moja ya vitu vya kufedhehesha sana
- Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Uzuri wa mkeo wako au muonekano wake hauwez kuwa sawa miaka yote, kuna kipindi utaondoka ni wajibu wako kuendelea kumheshimu mke wako
- Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Ha ha haa,asitupangeTusipangiane maisha..wewe ishi utakavyo kwenye mahusiano hakuna fomula..wengine tunaoa wake kadri tutakavyoweza.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app