Mambo ya kupeleka watoto bweni yamepitwa na wakati, tuwapeleke inapobidi tu!!

Mambo ya kupeleka watoto bweni yamepitwa na wakati, tuwapeleke inapobidi tu!!

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,406
Reaction score
19,375
Hawa ndio waende inapobidi
1. Kama kakosa shule sehem unayoishi
2. Kama kapangiwa shule inayoleta changamoto ya usafiri

Mi nashangaa hadi leo imekuwa kama fasheni kupeleka watoto boarding.

Tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.

Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu

Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
 
Mi nashangaa hadi leo imekua kama fasheni kupeleka watoto boarding.

tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.

Tusipangiane !!. Hivi shule kama za masista utaachaJe kumpeleka mtoto boarding ?!
 
Boarding ina faida kuu moja,kwanza unakuwa na uhakika mkubwa wa mwanao,kumaliza masomo,labda itokee tu bahati mbaya,tofauti na day,uwezekano ni mdogo sana,vishawishi ni vingi sana huku nje,kuhusu mtoto kuwa na tabia mbaya hilo siyo la msingi saana,maana tunaishi kwenye jamii ya kinyama sana,ushenzi ushenzi tu.
 
Mi nashangaa hadi leo imekua kama fasheni kupeleka watoto boarding.

tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.

Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu

Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
"INAPOBIDI" ndio imeshabidi sasa anaenda! Tambua kuna watu wanaishi mazingira yasiyo na shule hizo za kutwa mazingira ya karibu ukiachilia hizi za serikali. acha kila mtu aamue hatma ya mwanae watu wasipangiane.
 
Boarding ina faida kuu moja,kwanza unakuwa na uhakika mkubwa wa mwanao,kumaliza masomo,labda itokee tu bahati mbaya,tofauti na day,uwezekano ni mdogo sana,vishawishi ni vingi sana huku nje

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Ni sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzao
 
Anaweza Soma day lakini ikawa nzuri

Ila kumpeleka bweni Ni ujinga Hasa kwa mtoto wa Miaka chini ya 13
anaweza kuwa mhanga wa kufanyiwa tabia za ajabu bila ulinzi wa karibu wa mzazi wake, wale ma matron na patron hawawezi kusimamia kila mtoto
 
Boarding ina faida kuu moja,kwanza unakuwa na uhakika mkubwa wa mwanao,kumaliza masomo,labda itokee tu bahati mbaya,tofauti na day,uwezekano ni mdogo sana,vishawishi ni vingi sana huku nje,kuhusu mtoto kuwa na tabia mbaya hilo siyo la msingi saana,maana tunaishi kwenye jamii ya kinyama sana,ushenzi ushenzi tu,

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Hayo mambo yalikuwa zamani mkuu.

Kwanza siku hizi kiwango cha ufaulu wa form 4 kimekuwa kikubwa mno.

Sikuhizi hata mtu akisoma day hakuna tatizo, ni mwendo wa kusolve pastpapers tu habari za notes zilishapitwa na wakati wetu zamani. hizi pastpapers zipo hadi mitandaoni mtu akikomaa nazo hakuna kipya necta.
 
"INAPOBIDI" ndio imeshabidi sasa anaenda! Tambua kuna watu wanaishi mazingira yasiyo na shule hizo za kutwa mazingira ya karibu ukiachilia hizi za serikali. acha kila mtu aamue hatma ya mwanae watu wasipangiane.
yes umeelewa, kama hakuna kabisa shule basi ndo inapobidi
 
Inategemea na mazingira wanafunzi wa Olevel wanachangamoto nyingi hasa mijini mfano dar, masuala ya usafiri,foleni, usumbufu wa kiba fataki, boda boda n.k kwahiyo boarding inaweza kuwa mbadala kupunguza upotevu wa muda na mengineyo lakini pale ambapo hakuna changamoto kukaa nyumbani ni bora boarding iwe ALevel tu.
 
Ni sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzao
Ni heri huyo mtoto apelekwa kwa ndugu zake wanaoishi mjini akasome hasa akiwa mdogo, huko boarding anaenda miezi minne na anaweza kuwa muoga kukwambia matatizo yake tofauti na unavyoishi nae kila siku hata akikuficha utagundua tu
 
Ndio maana kwa upande wangu siwez mpeleka mtoto wangu boarding hata siku moja,labda kuanziakidato cha 3 hv tena kama kuna ulazima,
 
Back
Top Bottom