sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Tusipangiane !!. Hivi shule kama za masista utaachaJe kumpeleka mtoto boarding ?!Mi nashangaa hadi leo imekua kama fasheni kupeleka watoto boarding.
tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.
Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu
Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
"INAPOBIDI" ndio imeshabidi sasa anaenda! Tambua kuna watu wanaishi mazingira yasiyo na shule hizo za kutwa mazingira ya karibu ukiachilia hizi za serikali. acha kila mtu aamue hatma ya mwanae watu wasipangiane.Mi nashangaa hadi leo imekua kama fasheni kupeleka watoto boarding.
tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.
Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu
Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
Ni sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzaoBoarding ina faida kuu moja,kwanza unakuwa na uhakika mkubwa wa mwanao,kumaliza masomo,labda itokee tu bahati mbaya,tofauti na day,uwezekano ni mdogo sana,vishawishi ni vingi sana huku nje
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
anaweza kuwa mhanga wa kufanyiwa tabia za ajabu bila ulinzi wa karibu wa mzazi wake, wale ma matron na patron hawawezi kusimamia kila mtotoAnaweza Soma day lakini ikawa nzuri
Ila kumpeleka bweni Ni ujinga Hasa kwa mtoto wa Miaka chini ya 13
Hapa nazungumzia watu ambao wapo maeneo kama huko bush sana ndani yani hakuna shuleUmeweka option ya ^inapobidi.^ Sasa kila mtu anaenda na hiyoooo option, no way out
Lengo la kupeleka mtoto kwa masista ni nini??? tuanze hapoTusipangiane !!. Hivi shule kama za masista utaachaJe kumpeleka mtoto boarding ?!
Hayo mambo yalikuwa zamani mkuu.Boarding ina faida kuu moja,kwanza unakuwa na uhakika mkubwa wa mwanao,kumaliza masomo,labda itokee tu bahati mbaya,tofauti na day,uwezekano ni mdogo sana,vishawishi ni vingi sana huku nje,kuhusu mtoto kuwa na tabia mbaya hilo siyo la msingi saana,maana tunaishi kwenye jamii ya kinyama sana,ushenzi ushenzi tu,
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
yes umeelewa, kama hakuna kabisa shule basi ndo inapobidi"INAPOBIDI" ndio imeshabidi sasa anaenda! Tambua kuna watu wanaishi mazingira yasiyo na shule hizo za kutwa mazingira ya karibu ukiachilia hizi za serikali. acha kila mtu aamue hatma ya mwanae watu wasipangiane.
Ni heri huyo mtoto apelekwa kwa ndugu zake wanaoishi mjini akasome hasa akiwa mdogo, huko boarding anaenda miezi minne na anaweza kuwa muoga kukwambia matatizo yake tofauti na unavyoishi nae kila siku hata akikuficha utagundua tuNi sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzao
Ndio maana kwa upande wangu siwez mpeleka mtoto wangu boarding hata siku moja,labda kuanziakidato cha 3 hv tena kama kuna ulazima,Ni heri huyo mtoto apelekwa kwa ndugu zake wanaoishi mjini akasome hasa akiwa mdogo, huko boarding anaenda miezi minne na anaweza kuwa muoga kukwambia matatizo yake tofauti na unavyoishi nae kila siku hata akikuficha utagundua tu