Boding ni kumuua mtoto kitabia hasa hizi o level,bora umlee mwanao akifika advance hapo nadhani inaweza saidia na haitomuathiri akienda boarding.hawa ndio waende inapobidi
1.kama kakosa shule sehem unayoishi
2.Kama kapangiwa shule inayoleta changamoto ya usafiri
Mi nashangaa hadi leo imekua kama fasheni kupeleka watoto boarding.
tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.
Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu
Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
hahaaaaa tupeleke watoto shule wakasome.Ni sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzao
Huu ni uongo uliotukuka zamani hakukua na shule za karibu na nyumbani watu walichaguliwa shule za mbali kuanza kidato cha kwanza siajabu tabia wamekuzidi hata wewe.Boding ni kumuua mtoto kitabia hasa hizi o level,bora umlee mwanao akifika advance hapo nadhani inaweza saidia na haitomuathiri akienda boarding.
Lakini katoto hata hakana nguvu ya akili ya kujiepusha na mabaya mtu anakapeleka boarding matokeo yake teenager inamchukua vibaya ukizingatia na makundi ya huko shule
Mkui ushasema zamaniHuu ni uongo uliotukuka zamani hakukua na shule za karibu na nyumbani watu walichaguliwa shule za mbali kuanza kidato cha kwanza siajabu tabia wamekuzidi hata wewe.
umeongea point.Boding ni kumuua mtoto kitabia hasa hizi o level,bora umlee mwanao akifika advance hapo nadhani inaweza saidia na haitomuathiri akienda boarding.
Lakini katoto hata hakana nguvu ya akili ya kujiepusha na mabaya mtu anakapeleka boarding matokeo yake teenager inamchukua vibaya ukizingatia na makundi ya huko shule
Hayo ni mambo madogo madogo,uoga ndiyo akiliNi heri huyo mtoto apelekwa kwa ndugu zake wanaoishi mjini akasome hasa akiwa mdogo, huko boarding anaenda miezi minne na anaweza kuwa muoga kukwambia matatizo yake tofauti na unavyoishi nae kila siku hata akikuficha utagundua tu
Hapo tuseme malezi yaboreshweNi sawa ila kuna kingine kama mtoto ni mdogo hawezi kujisimamia na kujitetea,ndio unakuta kama kuna watoto wakubwa wanaharibu watoto wenzao
Tazama kwa mapana zaidi. Kuna wazazi watoto wakiwa boarding ni substitute ya kumwacha na binti wa kazi homeHapa nazungumzia watu ambao wapo maeneo kama huko bush sana ndani yani hakuna shule
Kufundishwa maadiliLengo la kupeleka mtoto kwa masista ni nini??? tuanze hapo
Ulivyojikanyaga sasa!???Inategemea na mazingira wanafunzi wa Olevel wanachangamoto nyingi hasa mijini mfano dar, masuala ya usafiri,foleni, usumbufu wa kiba fataki, boda boda n.k kwahiyo boarding inaweza kuwa mbadala kupunguza upotevu wa muda na mengineyo lakini pale ambapo hakuna changamoto kukaa nyumbani ni bora boarding iwe ALevel tu.
Kumbuka siyo kila ndugu atapendaumeongea point.
kama upo sehemu ina shule au kama una ndugu zako ambao wanaishi sehem zenye shule sioni umuhimu wa kumpeleka mtoto boarding.
Elimu yenyewe imekuwa nyepesi mno sikuhizi kiwango cha ufaulu kimeongezeka sana kwa form 4 na 6 mpaka watu tunashangaa hata shule ambazo zamani zilikuwa zinafanya vibaya sikihizi wanafunzi wengi tu wanafaulu.
Unarudia palepale ^ulazima^ upo tuuuuNdio maana kwa upande wangu siwez mpeleka mtoto wangu boarding hata siku moja,labda kuanziakidato cha 3 hv tena kama kuna ulazima,
Bweni hakufai. Watu wanasema eti maadili yameporomoka,mtoto asiye na malezi ya wazazi atakuwaje na maadili? Bweni waende kuanzia umri wa miaka 21 ndio watu wazima, wanajitambua.Hawa ndio waende inapobidi
1. Kama kakosa shule sehem unayoishi
2. Kama kapangiwa shule inayoleta changamoto ya usafiri
Mi nashangaa hadi leo imekuwa kama fasheni kupeleka watoto boarding.
Tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na wazazi wa hiki kizazi wengi tumesoma, binafsi kila siku mtoto wangu lazima nimsaidie haya mambo ya shule za msingi maana hii ni elimu nyepesi mno kwa mtu mzima endapo alisoma. Huko boarding wanakosema kuna elimu nzuri ya shule ya msingi sijaona kipya.
Tukija sekondari shule za day zipo kibao tu na watu wanafaulu vizuri tu
Kwa form 5 wengi huwa washafikisha umri wa miaka 18 kidogo wanajielewa hivyo hata wakienda boarding au hostel iwapo wataenda chuo hakuna tatizo
Lakin,naona ni bora mtoto aende huko kuanzi A level,atakuwa anaelewa kil kitu na kuweza kujisimamaiaUnarudia palepale ^ulazima^ upo tuuuu
Kabisa,ndio maana watoto wengi hawana maadiliBweni hakufai. Watu wanasema eti maadili yameporomoka,mtoto asiye na malezi ya wazazi atakuwaje na maadili? Bweni waende kuanzia umri wa miaka 21 ndio watu wazima, wanajitambua.
Siwezi kujibu kwa sababu sijaelewa umeongea nini lakini nimesoma maelezo yako mkuuHuu ni uongo uliotukuka zamani hakukua na shule za karibu na nyumbani watu walichaguliwa shule za mbali kuanza kidato cha kwanza siajabu tabia wamekuzidi hata wewe.
Hayo maadili yanafundishwa na mzazi au mlezi kwa kiasi kikubwa.Kufundishwa maadili
Yes naweza sema mzazi ana mchango karibia wote.Hayo maadili yanafundishwa na mzazi au mlezi kwa kiasi kikubwa.
Hapa penyewe nilipo nina mtoto wa shule ya msingi namfundisha maadili mwenyewe na wala hana tatizo.
maadili yanafundishwa tangu mtoto ni mdogo na mzazi ana mchango mkubwa mno