Unawaza kama mimi mkuu.Peleka mtoto bwenini at your own risk and benefits.
Ila kwangu Mimi mtoto ataenda boarding akifika advance tu. Ni afadhali nimlipie pesa ya usafiri, nimpeleke tution za maana kipindi Cha likizo pamoja na kumnunulia vitabu atakavyohitaji. Ila Kila siku lazima nimuone Kila siku na kujua anaendelea vipi kimaadili, kidini na kimitazamo. Hata akiharibikiwa Basi iwe mikononi kwangu lakini siyo aje aseme Kama vijana wengi walioharibikiwa wakiwa boarding "ningekuwa nyumbani nisingefanyiwa vile, ona Sasa nashindwa kuacha hii tabia chafu"
Lakini pia kwangu Mimi maadili, utimamu wa mwili na akili, dini na uhusiano wa mtoto na Mimi ni Mambo ya muhimu kiasi kwamba hayana thamani inayolingana na kufaulu Sana kwa mtoto wangu kwa kumpeleka bwenini.
Umefunguka sana mkuu, pongezi kwako.Peleka mtoto bwenini at your own risk and benefits.
Ila kwangu Mimi mtoto ataenda boarding akifika advance tu. Ni afadhali nimlipie pesa ya usafiri, nimpeleke tution za maana kipindi Cha likizo pamoja na kumnunulia vitabu atakavyohitaji. Ila Kila siku lazima nimuone Kila siku na kujua anaendelea vipi kimaadili, kidini na kimitazamo. Hata akiharibikiwa Basi iwe mikononi kwangu lakini siyo aje aseme Kama vijana wengi walioharibikiwa wakiwa boarding "ningekuwa nyumbani nisingefanyiwa vile, ona Sasa nashindwa kuacha hii tabia chafu"
Lakini pia kwangu Mimi maadili, utimamu wa mwili na akili, dini na uhusiano wa mtoto na Mimi ni Mambo ya muhimu kiasi kwamba hayana thamani inayolingana na kufaulu Sana kwa mtoto wangu kwa kumpeleka bwenini.
huwezi kuelewa kwasababu huelewiSiwezi kujibu kwa sababu sijaelewa umeongea nini lakini nimesoma maelezo yako mkuu
Kiufupi mkuu kupeleka mtoto boarding ni hasara tu hasa kwa o level na akiwa mtoto ana uwezo wa kawaida.Umefunguka sana mkuu, pongezi kwako.
ujue nmeficha ficha hii maada lakini kiukweli huko boarding endapo mtoto kazidiwa akili na nguvu na wenzake mara nyingi mtoto anaweza kuwa muhanga.
Kuna michezo inayoanzaga kimasihara masihara huko bafuni wanakooga na mwishowe inamuharibu mtoto. (ushoga na usagaji) hivi vitu kwa day ni nadra sana kuvisikia.
Kuna mambo ya kuoneana huko boarding, ila kwa day hata hayasikiki japo yanaweza kuwepo ila kwa uchache.
Kwa boarding mtoto kama hana uwezo darasani inakuwa ngumu sana kupata msaada wa ziada, huku day tuition zimezagaa sana na walimu wasio na ajira wazuri tu wapo wengi unaweza kumlipa au wewe na wazazi wengine mumlipe awafundisbie watoto wenu hata chumba amabacho hakitumiki nyumbani.
Boarding nyingi changamoto ya chakula ni kubwa, yani chakula mnakula ilimradi tu, huki nyumbani chakula ni salama.
hayo mambo ya kambi kupotezeana muda na pesa tu.Kiufupi mkuu kupeleka mtoto boarding ni hasara tu hasa kwa o level na akiwa mtoto ana uwezo wa kawaida.
Kuna dogo wangu mmoja juzi hapa waliambiwa wake kambi shuleni alafu ya kata nikamaindi vibaya nikawauliza kabla ya kambi kusoma kwenyewe masomo ni matatu tu je wakikaa kambi waalimu watazidi au kupitezeana muda tu,dogo akirudi shule saa 11 anaenda zake tuition anatafuta na wenzie.
Sahihi mkuu.hayo mambo ya kambi kupotezeana muda na pesa tu.
Nachojua kwa siju hizi elimu ya form 4 imekuwa rahisi unajua kwanini??
Siku hizi kinachopambaniwa ni matokeo ya form 4 ya mtihani wa taifa sio matokeo ya shuleni haya.
Sikuhizi kuna vitabu vya kila somo vipo vyenye mitihani ya taifa na mock vina maswali na majibu kwa miaka mingi, binafsi sikupata hii bahati, zamani tulikuwa tunakomaa na notes za waalim wetu hawa na kufata wanavyotaka tujibu kwa style zao, ningepata hii bahati nna uhakika nisingekuwa mgeni kwenye mtihani wa taifa.
Kitu kingine ni kwamba walimu wa tuition wapo wengi sana mkuu, hawa waliosomea ualimu na kukosa kazi ni rasilimali kubwa sana, unamchukua unamlipa awe anamfunisha mtoto wako jinsi ya kujibu vizuri maswali ya mtihani.
Hapo ndio panapotisha zaidi,maaana mtoto akiingia huko kutoka ni miujiza,mm nasema mwaanngu atasoma day mpaka pale afike advanceKuna jamaa yangu alipeleka mtoto darasa la kwanza boarding Arusha kafika la tano anashtuka mtoto ana viashiria vya kuwa punga..jamaa kadata hasa ukichukulia ni shule ya kanisa
Uzuri wa kusoma day ni kwamba hata akifanyiwa hivyo vitendo ni rahisi kugundua mapema kabisa Kama unamchunguza mtoto wako, na kulifanyia kazi, Ila kwa boarding kuja kulijua ni wakati kaharibika.Kuna jamaa yangu alipeleka mtoto darasa la kwanza boarding Arusha kafika la tano anashtuka mtoto ana viashiria vya kuwa punga..jamaa kadata hasa ukichukulia ni shule ya kanisa
Uko sawa kabisa.Uzuri wa kusoma day ni kwamba hata akifanyiwa hivyo vitendo ni rahisi kugundua mapema kabisa Kama unamchunguza mtoto wako, na kulifanyia kazi, Ila kwa boarding kuja kulijua ni wakati kaharibika.
Unajua tunapozungumzia matatizo Kama haya hatumaanishi kwamba mtoto akienda tu bwenini Basi asilimia kubwa atakumbana na hivi vitu, no. Wanaokumbana na hivi vitu ni asilimia ndogo Sana. Ila kitu kibaya ni mtoto wako kuwa kwenye hiyo asilimia ndogo.
Hivyo vitu vyote sijaona kipya,Nilijifunza kujitegemea nikiwa boarding,nilikua kiimani sana sana nikiwa boarding kamwe sitasahau mchango wa boarding school katika kua hivi nilivo.Nawashukuru sana wanafunzi wenzangu na walimu walionifunza.kipekee namshukuru mwalimu wangu mama Machibya kutoka St Francis girls alenifundisha umuhimu wa kusoma vitabu hadi Leo nimekua msomaji mzuri sana.pia alinifundisha home economics leo sipeleki nguo za watoto wangu kwa fundi baadhi nashona mwenyewe.Niseme nini jamani yako meengi sana
Kabisa mkuu, hio asilimia ndogo wengi huipuuza na huja kujuta baadaeUzuri wa kusoma day ni kwamba hata akifanyiwa hivyo vitendo ni rahisi kugundua mapema kabisa Kama unamchunguza mtoto wako, na kulifanyia kazi, Ila kwa boarding kuja kulijua ni wakati kaharibika.