Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Sometimes unajikuta gesi imejaa halafu uko kitaa,unaanza kutafta chocho ili upulize tarumbeta halafu kila ukipata upenyo wa kulipua kitu mtu huyu hapa[emoji23][emoji23][emoji23].Unaishia kuahirisha.
 
Mara nyingi nilimsikia baba akijamba, tena kama mafler ys gari iliyo pasuka πŸ˜€
lakini sijawahi kumsikia mama akijamba! Kunani??
Wahenga nipeni ilimu!
 
Mlik
Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
[/QUOTEMlikosea kukaa kimya mlitakiwa muongeze sauti za kubishana hata kama mlikuwa hambishani kumuokoa mama na aibu.
 
Niliwahi kumbeba mtoto wa miezi mi-4 kwa hiari yangu nikamuachia yule yusufyuuuuuuuuu, zilipita sekunde 5 kwa harufu Ile mtoto alipiga chafya sio chini ya chafya 10.
[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…