Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Nawaza nini kitatokea endapo Waziri Kabuduuuu akijamba mbele ya Jiwe?[emoji23][emoji28][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa,[emoji28][emoji38][emoji28]Mi nilijamba wakati natongoza nilijua ni ile kitu cha yusuphuuu kumbe ni matarumbeta ya buza. Hahaa niliondoka bila kuaga!
Wewe mama Deborah ndo huna adabu. Siku nyingine ikitokea kitu kama hicho, awe mama, baba au mtu mwingine mkubwa kwako jifanye wewe ndiye uliyejamba. Uokoe jahazi .Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
Mara nyingi nilimsikia baba akijamba, tena kama mafler ys gari iliyo pasuka 😀
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba.
1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen, asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai.
View attachment 1498819
3. Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku 😂😂. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.😎
4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua. (Kwa mtu mnene kama Kiduku Lilo inaweza chukua hata nusu saa😂😂)
5. Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).
View attachment 1498820
6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
Swali kwako.
Je, ulishawahi kujamba sehemu ambayo ukahisi hukustahil kufanya hivyo iwe kwa bahati mbaya au kukusudia?
Mkuu ushuzi wake lazima mtafutaneSiku Umekula Hivi tutakupoteza kabisa hivihiviView attachment 1502066
😂😂 Dah! unaonekana unakinyaa sana,Nachukia mtu akijamba au akibeua mbele yangu,
Nahisi kichefu chefu sana,
Niliachana na msichana aliyekua anapenda kujamba jamba kila saa halafu anacheka, damn!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
[/QUOTEMlikosea kukaa kimya mlitakiwa muongeze sauti za kubishana hata kama mlikuwa hambishani kumuokoa mama na aibu.
Mtu mzima huwaga hajambi bhanaa! Na akifanya hivo hiyo kesi huelekezwa kwa watoto ati! [emoji23][emoji23]Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
Mlikosea kukaa kimya mlitakiwa muongeze sauti za kubishana hata kama mlikuwa hambishani kumuokoa mama na aibu.Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
Unasubiri bodaboda ipite unaunganisha, kitaalamu inaitwa "cross dissolve".Sometimes unajikuta gesi imejaa halafu uko kitaa,unaanza kutafta chocho ili upulize tarumbeta halafu kila ukipata upenyo wa kulipua kitu mtu huyu hapa[emoji23][emoji23][emoji23].Unaishia kuahirisha.
[emoji1][emoji1]Niliwahi kumbeba mtoto wa miezi mi-4 kwa hiari yangu nikamuachia yule yusufyuuuuuuuuu, zilipita sekunde 5 kwa harufu Ile mtoto alipiga chafya sio chini ya chafya 10.