Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

[emoji23][emoji23][emoji23] ila ulikuwa na adabu angekuwa mtoto mwingine angesema sio Mimi[emoji23][emoji23][emoji23], kwetu mtoto alisingiziwa na huyo Mzee walikuwa wazee wengi nayeye alikuwa na Baba yake, asubuhi yake huyo Mzee kamfuata twende ukale chakula mtoto ulinitoa aibu kamchinjia na kuku kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah yaani mimi shukrani yangu ilikuwa kofi tu basi.Huyo alikutana na muungwana bahati yake.Kule kwetu sijui mkubwa kujamba ni taboo yaani hadi leo sijaelewaga kwa kweli.
 
Niliendaga kijijini BK huko nipo mdogoo. Wakati wa kula sasa kiherehere changu kikanipeleka kula kwa wakubwa badala ya kula na watoto wenzangu.Wakati wa kula mtu mzima akajamba kofi nikapewa mimi dah! Halafu na kufokewa juu.Baada ya msosi mama akanifuata kunibembeleza. Nikamwambia siwezi kukaa huku tuondoke.Ndani ya siku mbili tu tukarudi Mwanza.

Yaani wakubwa starehe yenu halafu makofi mtupige sie! Tamaduni za ajabu sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliendaga kijijini BK huko nipo mdogoo. Wakati wa kula sasa kiherehere changu kikanipeleka kula kwa wakubwa badala ya kula na watoto wenzangu.Wakati wa kula mtu mzima akajamba kofi nikapewa mimi dah! Halafu na kufokewa juu.Baada ya msosi mama akanifuata kunibembeleza. Nikamwambia siwezi kukaa huku tuondoke.Ndani ya siku mbili tu tukarudi Mwanza.

Yaani wakubwa starehe yenu halafu makofi mtupige sie! Tamaduni za ajabu sana!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hiyo adhabu yako aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila ulikuwa na adabu angekuwa mtoto mwingine angesema sio Mimi[emoji23][emoji23][emoji23], kwetu mtoto alisingiziwa na huyo Mzee walikuwa wazee wengi nayeye alikuwa na Baba yake, asubuhi yake huyo Mzee kamfuata twende ukale chakula mtoto ulinitoa aibu kamchinjia na kuku kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!...
 
Back
Top Bottom