Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Dah yaani mimi shukrani yangu ilikuwa kofi tu basi.Huyo alikutana na muungwana bahati yake.Kule kwetu sijui mkubwa kujamba ni taboo yaani hadi leo sijaelewaga kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] ila ulikuwa na adabu angekuwa mtoto mwingine angesema sio Mimi[emoji23][emoji23][emoji23], kwetu mtoto alisingiziwa na huyo Mzee walikuwa wazee wengi nayeye alikuwa na Baba yake, asubuhi yake huyo Mzee kamfuata twende ukale chakula mtoto ulinitoa aibu kamchinjia na kuku kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]