Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working

RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC

0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
 
Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo.

Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na CR Belouizdad, Aprili 9, 2021, hadi sasa imecheza mechi 16 mfululizo za Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld uliopo Pretoria, Afrika Kusini bila ya kupoteza ikishinda mechi 12 na kutoka sare nne.

Lakini ubabe wa Mamelodi haushii kwa mechi za nyumbani tu bali hata ugenini imekuwa ikifanya vyema na kuthibitisha hilo katika mechi 10 zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika, imefungwa moja, kutoka sare mbili na kuibuka na ushindi katika michezo saba.

BENCHI LILILOSHIBA

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu zenye rasilimali watu za kutosha kwenye mabechi yao ya ufundi ambazo zimekuwa chachu kwao kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali inayoshiriki.​

Timu hiyo ina jopo la wataalam 24 wanaohusika na idara ya ufundi wakiongozwa na kocha mkuu Rhulani Mokwena huku msaidizi wake akiwa ni Manqoba Mngqithi.​

KIKOSI GHALI

Kwa mujibu wa mtandao wa www.transfermarkt.com, thamani ya kikosi cha Mamelodi Sundowns kinachonolewa na Rhulani Mokwena wa Afrika Kusini ni Euro 33.15 milioni (Sh92.3 bilioni).​

Mchezaji ghali zaidi ni Matías Esquivel aliyenunuliwa katika dirisha dogo la usajili, Januari kwa ada ya Euro 2.3 milioni (Sh6.4 bilioni) kutokea Lanus ya Argentina.​

Nyota tegemeo wa Mamelodi Sundowns ni makipa Denis Onyango na Ronwen Williams, mabeki ni Rushine De Reuck, Mothobi Mvala, Grant Kekana, Abdelmounaim Boutouil na Khuliso Mudau.​

Viungo ni Teboho Mokoena, Thapelo Maseko, Gaston Sirino, Bongani Zungu, Marcelo Allende, Aubrey Modiba, Thembinkos Lorch na Junior Mendieta wakati washambuliaji ni Siyabonga Mabena, Abubeker Nasir na Peter Shalulile.​

Naishia hapo tu, msijekusema nawatishia maisha
hakuna kitisho hapo ni ushuzi tu...
 
Kwakuwa umeamua kuliongelea hili swala ndugu 'Mwathibu' basi Yanga tuna qualify kwenda ¹/² fainali.
 
Tuma salamu kwa watu watatu.
 
Nimesoma mpaka mwisho, safari hii Muhasibu umeandika kwa angalizo kubwa sana.

Hakuna hata sentensi moja humu umeitaja YANGA, ulichofanya ni kuisifia Mamelod ,lakini ukiunganisha doti NI kama unasema YANGA hawezi kufunga Mamelod Kutokana na ubora wa Mamelod na uwekezaji wake.

Time will tell, ila huu Uzi upo tofauti na ule wa KIHASIBU.
 
UBUNTU BOTHO
IMG-20240318-WA0190.jpg
 
We dogo ''mwasibu'', subiria tutakushangaza na huu uzi wako usikimbie.. hata Aziz ki ulisema tumepigwa

mpira ni dakika 90
Tukimaliza kuwafunga, huyu jamaa atakuja hapa na kuandika hivi "Mamelodi hii siyo ile yenyewe, Yanga wamepata mtelemko tu, wengekutana na Mamelodi yenyewe wangekiona cha mtema kuni"
 
Doh Kama had we umeweka Uzi wa kusifia masandawana bas Yanga inashinda jmosi
 
Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo.

Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na CR Belouizdad, Aprili 9, 2021, hadi sasa imecheza mechi 16 mfululizo za Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld uliopo Pretoria, Afrika Kusini bila ya kupoteza ikishinda mechi 12 na kutoka sare nne.

Lakini ubabe wa Mamelodi haushii kwa mechi za nyumbani tu bali hata ugenini imekuwa ikifanya vyema na kuthibitisha hilo katika mechi 10 zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika, imefungwa moja, kutoka sare mbili na kuibuka na ushindi katika michezo saba.

BENCHI LILILOSHIBA

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu zenye rasilimali watu za kutosha kwenye mabechi yao ya ufundi ambazo zimekuwa chachu kwao kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali inayoshiriki.​

Timu hiyo ina jopo la wataalam 24 wanaohusika na idara ya ufundi wakiongozwa na kocha mkuu Rhulani Mokwena huku msaidizi wake akiwa ni Manqoba Mngqithi.​

KIKOSI GHALI

Kwa mujibu wa mtandao wa www.transfermarkt.com, thamani ya kikosi cha Mamelodi Sundowns kinachonolewa na Rhulani Mokwena wa Afrika Kusini ni Euro 33.15 milioni (Sh92.3 bilioni).​

Mchezaji ghali zaidi ni Matías Esquivel aliyenunuliwa katika dirisha dogo la usajili, Januari kwa ada ya Euro 2.3 milioni (Sh6.4 bilioni) kutokea Lanus ya Argentina.​

Nyota tegemeo wa Mamelodi Sundowns ni makipa Denis Onyango na Ronwen Williams, mabeki ni Rushine De Reuck, Mothobi Mvala, Grant Kekana, Abdelmounaim Boutouil na Khuliso Mudau.​

Viungo ni Teboho Mokoena, Thapelo Maseko, Gaston Sirino, Bongani Zungu, Marcelo Allende, Aubrey Modiba, Thembinkos Lorch na Junior Mendieta wakati washambuliaji ni Siyabonga Mabena, Abubeker Nasir na Peter Shalulile.​

Naishia hapo tu, msijekusema nawatishia maisha
Yanga atamtesa sana Mamelodi Sundowns labda kiwaangushe uzoefu tu.

Mamelodi Sundowns siyo wazuri sana wanapokutana na timu zinazocheza kwa nguvu nyingi.

Wydad, Petro Atletico, Mazembe huwa wanamuonea sana Mamelod na Yanga atafanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom