Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo.

Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na CR Belouizdad, Aprili 9, 2021, hadi sasa imecheza mechi 16 mfululizo za Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld uliopo Pretoria, Afrika Kusini bila ya kupoteza ikishinda mechi 12 na kutoka sare nne.

Lakini ubabe wa Mamelodi haushii kwa mechi za nyumbani tu bali hata ugenini imekuwa ikifanya vyema na kuthibitisha hilo katika mechi 10 zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika, imefungwa moja, kutoka sare mbili na kuibuka na ushindi katika michezo saba.

BENCHI LILILOSHIBA

Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu zenye rasilimali watu za kutosha kwenye mabechi yao ya ufundi ambazo zimekuwa chachu kwao kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali inayoshiriki.​

Timu hiyo ina jopo la wataalam 24 wanaohusika na idara ya ufundi wakiongozwa na kocha mkuu Rhulani Mokwena huku msaidizi wake akiwa ni Manqoba Mngqithi.​

KIKOSI GHALI

Kwa mujibu wa mtandao wa www.transfermarkt.com, thamani ya kikosi cha Mamelodi Sundowns kinachonolewa na Rhulani Mokwena wa Afrika Kusini ni Euro 33.15 milioni (Sh92.3 bilioni).​

Mchezaji ghali zaidi ni Matías Esquivel aliyenunuliwa katika dirisha dogo la usajili, Januari kwa ada ya Euro 2.3 milioni (Sh6.4 bilioni) kutokea Lanus ya Argentina.​

Nyota tegemeo wa Mamelodi Sundowns ni makipa Denis Onyango na Ronwen Williams, mabeki ni Rushine De Reuck, Mothobi Mvala, Grant Kekana, Abdelmounaim Boutouil na Khuliso Mudau.​

Viungo ni Teboho Mokoena, Thapelo Maseko, Gaston Sirino, Bongani Zungu, Marcelo Allende, Aubrey Modiba, Thembinkos Lorch na Junior Mendieta wakati washambuliaji ni Siyabonga Mabena, Abubeker Nasir na Peter Shalulile.​

Naishia hapo tu, msijekusema nawatishia maisha
Mamelod siyo wagumu nyumbani.
2019 walitolewa semi final na Wydad

2020 walitolewa na Al Ahly

2021 walichomolewa quarterfinal na Al Ahly.

2022 walitolewa Quaterfinal na Atletico Petroles.

2023 walichomolewa semifinal na Wydad.

Katika mechi zote hizo hizo walitoa sare hapo hapo South Africa.

Na mechi za ugenini walikufa.
 
Mwasibu wa CPA feki OKW SUNZU BOBAN ovyo kabisa.
 
Pia tu kwa kujazia minyama ni kwamba mara ya mwisho Mamelodi kubeba kombe la CAF.... kipindi hicho Timu shiriki zilikuwa nane tu yani makundi yalikuwa mawili tu aliyevuka direct aliingia Nusu fainali. Hakuna Timu tishio hapo msiogope
 
Mamelody bila hata ushabiki wa Yanga na Simba, tayari nilikuwa nawakubali na kuwashabikia.

Hata timu ya Taifa ya Afrika kusini “bafanabafana”, niliwashabikia kwenye mashindano yaliyopita AFCON kwasababu ilisheheni wachezaji wote wanaocheza ligi ya ndani na karibia wote walikuwa ni hao Masandawana.

Nawakubali sana style yao ya pasi fupi fupi na mchezo wa kasi. Sishangai wanapoitwa “Brazili ya Africa”
 
I
APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working

RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC

0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
Ivi iphone nazo ni cm?
 
Mamelod siyo wagumu nyumbani.
2019 walitolewa semi final na Wydad

2020 walitolewa na Al Ahly

2021 walichomolewa quarterfinal na Al Ahly.

2022 walitolewa Quaterfinal na Atletico Petroles.

2023 walichomolewa semifinal na Wydad.

Katika mechi zote hizo hizo walitoa sare hapo hapo South Africa.

Na mechi za ugenini walikufa.
Makes sense

🤔🤔🤔🤔
 
mamelodi sundowns kwa sifa zote ulizompa, naomba unijibu maswali machache.

1. Mamelodi sundown imeanzishwa mwaka gani ?

2. je amewai kutwaa ubingwa wa Arica mara ngapi ?

3. ni miaka mingapi iliyopita ametwaa huo ubingwa ?

4. na mara yake ya mwisho kufika fainali ya klabu bingwa africa ni lini ?

majibu ya haya maswali ndio nitajua kama mamelodi sundown ana tisha sana ama yupo sawa sawa tu na kina As vita. isijekuwa hata Enyimba hamfikii,

maana ni aibu kwa timu kuwa na miaka zaidi ya 50 toka kuanzishwa kwake. halafu kombe la mabingwa africa imebeba mara moja tu, ni kudanganya uma kusema hiyo timu inatisha sana. ingekuwa inatisha ingekuwa inabeba makombe mengi
Historia sawa itakuletea uzoefu na Mataji lkn tuangalie madhaifu yetu na nguvu zetu kwakulinganisha na mpizani wetu kwasa yaani kwa wakati huu, what is your competitor's strength and weakness compared to your then cultivate them for your success
 
IMG_0386.jpeg
 
Yanga atamtesa sana Mamelodi Sundowns labda kiwaangushe uzoefu tu.

Mamelodi Sundowns siyo wazuri sana wanapokutana na timu zinazocheza kwa nguvu nyingi.

Wydad, Petro Atletico, Mazembe huwa wanamuonea sana Mamelod na Yanga atafanya hivyo hivyo.
Wydad si kabondwa kwenye final ya AFL? au unazungumzia wydad ipi? Mazembe si kapigwa kwenye makundi? Au habari huna??
 
Back
Top Bottom