Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

Mamelod siyo wagumu nyumbani.
2019 walitolewa semi final na Wydad

2020 walitolewa na Al Ahly

2021 walichomolewa quarterfinal na Al Ahly.

2022 walitolewa Quaterfinal na Atletico Petroles.

2023 walichomolewa semifinal na Wydad.

Katika mechi zote hizo hizo walitoa sare hapo hapo South Africa.

Na mechi za ugenini walikufa.
 
Mwasibu wa CPA feki OKW SUNZU BOBAN ovyo kabisa.
 
Pia tu kwa kujazia minyama ni kwamba mara ya mwisho Mamelodi kubeba kombe la CAF.... kipindi hicho Timu shiriki zilikuwa nane tu yani makundi yalikuwa mawili tu aliyevuka direct aliingia Nusu fainali. Hakuna Timu tishio hapo msiogope
 
Mamelody bila hata ushabiki wa Yanga na Simba, tayari nilikuwa nawakubali na kuwashabikia.

Hata timu ya Taifa ya Afrika kusini β€œbafanabafana”, niliwashabikia kwenye mashindano yaliyopita AFCON kwasababu ilisheheni wachezaji wote wanaocheza ligi ya ndani na karibia wote walikuwa ni hao Masandawana.

Nawakubali sana style yao ya pasi fupi fupi na mchezo wa kasi. Sishangai wanapoitwa β€œBrazili ya Africa”
 
I
Ivi iphone nazo ni cm?
 
Makes sense

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Historia sawa itakuletea uzoefu na Mataji lkn tuangalie madhaifu yetu na nguvu zetu kwakulinganisha na mpizani wetu kwasa yaani kwa wakati huu, what is your competitor's strength and weakness compared to your then cultivate them for your success
 
Yanga atamtesa sana Mamelodi Sundowns labda kiwaangushe uzoefu tu.

Mamelodi Sundowns siyo wazuri sana wanapokutana na timu zinazocheza kwa nguvu nyingi.

Wydad, Petro Atletico, Mazembe huwa wanamuonea sana Mamelod na Yanga atafanya hivyo hivyo.
Wydad si kabondwa kwenye final ya AFL? au unazungumzia wydad ipi? Mazembe si kapigwa kwenye makundi? Au habari huna??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…