Kwamba siri zitakuzidia😃😃Si utapasuka sasa?
Hujafafanua tuyazingatie vipi sasa?! Elezea kinagaubaga ili andiko lako liwe msaada kwa wengine, kwa ulivyoandika sijui kama hao vijana watakuelewa...!!Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako;
1. Masuala ya mahusiano yako
2. Hali yako ya kifedha
3. Matatizo ya familia yako
4. Siri zako binafsi
5. Baadhi ya Mipango yako mikubwa na midogo pia
6. Hatua yako inayofuata
Mengine tuendeleze kwenye comment
Kwamba siri zitakuzidia😃😃
uwe unaongea na mtu wako tu unayemwamini labdaKila kitu ni siri, kwa moyo gani?
Darasa lipo huru tutaendelea kupeana ufafanuzi pia..Hujafafanua tuyazingatie vipi sasa?! Elezea kinagaubaga ili andiko lako liwe msaada kwa wengine, kwa ulivyoandika sijui kama hao vijana watakuelewa...!!
Watu mna Siri, kumbe Kuna watu bado wanaaminikauwe unaongea na mtu wako tu unayemwamini labda
Nilishaacha kuamini watu zamani sana😃😃,,,ila wanaoaminika wapo tena wengi tu🤗🤗Watu mna Siri, kumbe Kuna watu bado wanaaminika
Watu wanaaminika sana kwenye vitu ambavyo sio sensitive sanaNilishaacha kuamini watu zamani sana😃😃,,,ila wanaoaminika wapo tena wengi tu🤗🤗
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe sizizo na kiwango na za bei rahisi.
2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.
3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupiliza.
4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na walikuzid kiuchumi.
5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.
6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.
7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.
8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .
9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia.
Hapo ni wewe sasa kuchagua kipi cha kusema kipi cha kubaki nachoWatu wanaaminika sana kwenye vitu ambavyo sio sensitive sana
Namuaminije🤣 wakati tunaliana timing tuHUmuamini hata mpenzi wako?