Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe zisizo na kiwango na za bei rahisi.

2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.

3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupitiliza.

4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na waliokuzid kiuchumi.

5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.

6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.

7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.

8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .

9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia.
Faida ya laki Tano kwa siku...
 
Hii namba Tatu nifafanunulie na hatari ya hiyo nyama na ulaji mwingi ni kuanzia kias gani
Nyama nyekundu na wanga kwa wingi zina sababisha magonjwa mengi mwilini hasa magonjwa ya moyo , na pressure , kula nyama nyekundu mara moja kwa mwezi na wanga kidgo na mboga za majan kwa wingi na matunda ni jambo zuri zaid kiafya.
 
Back
Top Bottom