bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mengine bila kushirikisha wengine tegemea kukwama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni yangu maishani ni moja sehemu yoyote ambapo moyo wangu haujatulia na kupata amani staonesha lolote linalonihusu hata kama ni kwa ndugu nione tu natembea navaa ila yanayoendelea akilini mwangu hawatoyajua kamweHakikisha haya mambo yanakua Siri kwako;
1. Masuala ya mahusiano yako
2. Hali yako ya kifedha
3. Matatizo ya familia yako
4. Siri zako binafsi
5. Baadhi ya Mipango yako mikubwa na midogo pia
6. Hatua yako inayofuata
Mengine tuendeleze kwenye comment
HIYO NI NZURI KAMA UNAWEZA IMUDUKanuni yangu maishani ni moja sehemu yoyote ambapo moyo wangu haujatulia na kupata amani staonesha lolote linalonihusu hata kama ni kwa ndugu nione tu natembea navaa ila yanayoendelea akilini mwangu hawatoyajua kamwe
MIMI NI MSIRI HADI NAKERA
nshawekwa hadi kwenye kikao na familia kisa upole na usiri mwingi niwatakie siku njema twende tukaitetee bandari yetu 😀
That's why nipo brokeHakikisha haya mambo yanakua Siri kwako;
1. Masuala ya mahusiano yako
2. Hali yako ya kifedha
3. Matatizo ya familia yako
4. Siri zako binafsi
5. Baadhi ya Mipango yako mikubwa na midogo pia
6. Hatua yako inayofuata
Mengine tuendeleze kwenye comment
No.7Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe zisizo na kiwango na za bei rahisi.
2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.
3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupitiliza.
4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na waliokuzid kiuchumi.
5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.
6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.
7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.
8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .
9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia.
1.kUTANGAZA MASUALA YA MAHUSIANO YAKOThat's why nipo broke
1. Kila mtu anafahamu nimeoa
2. Familia na marafiki wanajua napokea TGS.....
3. Hivi ushindwe kulipa marejesho ya Oya Microfinance & kausha damu kuna mtu ataacha kujua mtaani.
4. Kama zipi labda
5. Kucheza upatu na vikoba kuna watu kibao, ukitaka kukopa wanahitaji wadhamini then hakuna siri tena.
6. Aaaah......!
Huyu anaongea tu Laki tano.Faida ya laki Tano kwa siku...
2. WATU HAWATAKIWI WAJUE KIPATO CHAKOThat's why nipo broke
1. Kila mtu anafahamu nimeoa
2. Familia na marafiki wanajua napokea TGS.....
3. Hivi ushindwe kulipa marejesho ya Oya Microfinance & kausha damu kuna mtu ataacha kujua mtaani.
4. Kama zipi labda
5. Kucheza upatu na vikoba kuna watu kibao, ukitaka kukopa wanahitaji wadhamini then hakuna siri tena.
6. Aaaah......!
Pesa ni kitu kingine,2. WATU HAWATAKIWI WAJUE KIPATO CHAKO
Mfano mimi kuna watu wanapendaga kujua kipato changu cha mwezi ni kiasi gani, hili swali wanawake wanapenda sana kuniuliza ila huwa nawajibu kwa kuwatania 'napata elfu 60 ndio maana sitaki kukuoa maana ntakutesa''
ninachotaka kusema hapa ni tafta namna ya kuwepa kujibu maswali yanayokuhusu wewe
3. UKIHITAJI MKOPO TAFTA WATU AMBAO UNAWAJUA WATASTAHIMILI HATA UKICHELEWA KULIPA
4.SIRI ZAKO BINAFSI
Mambo mabaya yaliyokutokea zamani
Mipango yako midogo
Kutoa misaada ya nguo au kifedha kwa watu
Jamaa ukoserious sana hebu relax furahia maisha2. WATU HAWATAKIWI WAJUE KIPATO CHAKO
Mfano mimi kuna watu wanapendaga kujua kipato changu cha mwezi ni kiasi gani, hili swali wanawake wanapenda sana kuniuliza ila huwa nawajibu kwa kuwatania 'napata elfu 60 ndio maana sitaki kukuoa maana ntakutesa''
ninachotaka kusema hapa ni tafta namna ya kuwepa kujibu maswali yanayokuhusu wewe
3. UKIHITAJI MKOPO TAFTA WATU AMBAO UNAWAJUA WATASTAHIMILI HATA UKICHELEWA KULIPA
4.SIRI ZAKO BINAFSI
Mambo mabaya yaliyokutokea zamani
Mipango yako midogo
Kutoa misaada ya nguo au kifedha kwa watu
Naweza kuimudu ndo maana naizingatia sana mkuuHIYO NI NZURI KAMA UNAWEZA IMUDU
Pamojanzuri sana
Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe zisizo na kiwango na za bei rahisi.
2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.
3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupitiliza.
4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na waliokuzid kiuchumi.
5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.
6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.
7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.
8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .
9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia. Nakazia ujumbe
Nyama nyekundu haina tatizoHali yako ya kiafya.

Sawa mkuu