Anayeamua ndoa ni nan? Angalia mazingira ya huku mjini mambo yalishafutika hayoNimekuuliza hao wenzako wanao ingia kwenye ndoa na bikira zao, wameweza vipi?
Husitumie akili kuvukia barabara unacho takiwa kutumia akili nyakati kama hizo,ili ulinde na kuutunza usichana wako.
Tatizo lenu ni moja wanawake wa siku hii wengi wenu,mnatamaa ya fedha na wengine mnaendekeza nyege,hivi ndivyo vyo waponza.
Kwani mwenye bikira ni nani? Je na nani anaye amua bikira yake iliwe au isiliwe?Halafu hujashikiwa bastola.....Anayeamua ndoa ni nan? Angalia mazingira ya huku mjini mambo yalishafutika hayo
Sijawahi kuwa na tamaa wala mshamba wa mapenzi ila ule ukweli mnaharibu watoto wa watu ...Kama wewe unatak kusema haujachezea mtoto wa watu bila ya kumuoa huko nje?Kwani mwenye bikira ni nani? Je na nani anaye amua bikira yake iliwe au isiliwe?Halafu hujashikiwa bastola.....
We endelea kuendekeza tamaa na nyege, ila wapo wenzenu mjini hapa hapa wanaingia kwenye ndoa na bikira zako na kwa jinsi ilivyo sasa ukiendekeza tamaa za fedha na nyege,utatumika sana haumkomoi mtu kwani unajiharibia mwenyewe.
Mwili ni wako, bikira ni yako na maamuzi ni ya kwako, Mungu kakupa akili uitumie kufanya maamuzi juu ya kuulinda na kuutunza mwili wako. Sasa unashindwa kitumia akili unawalaumu wanaume kwa sababu za tamaa na nyege zako, amka kuna wenzako wanaolewa hapa hapa mjinj na bikira zao.
Nimekuuliza je wewe unaakili? Unautashi?Sijawahi kuwa na tamaa wala mshamba wa mapenzi ila ule ukweli mnaharibu watoto wa watu ...Kama wewe unatak kisema haujachezea mtoto wa watu bila ya kumuoa huko nje?
Wewe ni punguani kwa vile ni mwanaume dhaifu kabisa, kama haujui kwa nn wanaume wanawapa mimba vichaa huko barabara ..Kama hujui chanzo cha single mothers ni wakina na basi bora utafute daktari una matatizo ya akili..Nimekuuliza je wewe unaakili? Unautashi?
Kama HAUNA akili na utashi ni sawa kusema unachezewa.
Ila kama unaakili na utashi basi umetaka mwenyewe kuchezewa.
Kwanini hakueshimu wewe mzazi wake??kama maisha hata yeye anayamudu,si umemkuta ana ajira yake nzuri??
Wewe mpuuzi kweli,yaani unashindwa kutumia akili na utashi wako,unawalaaumu watu sababu ya upumbavu wako. Unaonekana bado hujapevuka, nipo kwenye jamii hii,naona wanawake siku hizi wengi wenu mnavyo behave sababu ya tamaa ya fedha na nyege.Wewe ni punguani kwa vile ni mwanaume dhaifu kabisa, kama haujui kwa nn wanaume wanawapa mimba vichaa huko barabara ..Kama hujui chanzo cha single mothers ni wakina na basi bora utafute daktari una matatizo ya akili..
Mwanaume ana kipawa cha ushawishi tena cha asili...
😂 Ifike wakati dunia tukubali tumeshindwa kumuelewa mwanamke kabisa... Kila siku tunaambiwa haya mambo... Hakuna jipya.
Wanawake tuishi nao tu hivyohivyo bila kuweka matarajio. Akikushinda achana naye tafuta mwingine maisha yaendelee.
Aliemchezea mwanamke ni mwanaume ambae alimtoa bikira na hakumuoa. Mwanamke akishatolewa bikira tu hana uhalali wa kusema wanaume waliofuata baada ya hapo wamemchezeaSijawahi kuwa na tamaa wala mshamba wa mapenzi ila ule ukweli mnaharibu watoto wa watu ...Kama wewe unatak kisema haujachezea mtoto wa watu bila ya kumuoa huko nje?
Mwambie ijia getoMkuu, umeua Thumb up, kuna pisi moja hapa, niliomba kuioa, awali kama ilielekea, mwishoni inasema haiko tayari, sasa hiyo Laki 3 inayotaka nimkopeshe ya nini? nafuta namba, nafuata advice ya uzi wako huu...
Hapa umemaliza, mwanamke wa chini ya 25, kuna namna unaweza mbadilisha mkaendana vizuri sanA, kuliko hawa traumatized woman.Na hata mapungufu yake madogo madogo unaweza kumbadilisha, ni tofauti na hao wa 30+ ambao unakutana nao wakiwa hardcore kwenye mitazamo yao ya kimaisha hata kama ina shida
Ha ha haHaya mambo hayana kanuni. Mi nilioa binti mdogo, miaka 21 alikua bikra, mzuri mtiifu tuliishi miaka 2 tukaachana. Sababu ya kuachana alilombwa na mtu mwingine
UmemalizaaUchi hauna faida sana kwa mwanaume kama sio kwa ajili ya kuzaa