Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Sio fantasy, kasema ukweli. Mwanamke bikira bado innocence na purity. Tofauti na ambae body count inasoma mileage ndefu huyu anakuja kwako na comparisons za maex wake na wewe. Hii inamsababishia emotional complex, anakua hana uhakika na anachokitaka
Si ndo fantasy yenyewe hii. Who told you hana wa kukulinganisha naye just because hajawahi kulala na mtu?

Are you all this naive? ?

These 21Century Information Technology Bikras are a different type. They're not as ignorant / uninformed / naive as you fantasize them to be. (I'm not talking about their value here)

But then again, ignorance is bliss.
 
Sasa utalinganisha vipi kitu ambacho hauna uzoefu nacho.
 
Damn you went hard as fuvk.
 
Nimekuuliza je wewe unaakili? Unautashi?

Kama HAUNA akili na utashi ni sawa kusema unachezewa.

Ila kama unaakili na utashi basi umetaka mwenyewe kuchezewa.
Utashi upi wewe unakuwa kama punga ! Mwanamke yeyote anaweza kuolewa kama sio mshirikina.
 
Chief uko sahihi sana nmeacha kazi ili nifuatilie post zako
 
Utashi upi wewe unakuwa kama punga ! Mwanamke yeyote anaweza kuolewa kama sio mshirikina.
Kama Punga dingi yako pamoja kaka zako sawa maana hujawahi kunipa K nikakukatalia. Jifunze kujibu kwa hoja si wenyewe tumevurugwa kuliko ww. Ila kama unazungumzia mikorosho/mapunga iliyojaa kwenye ukoo wenu sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…