Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

All in all don't be a simp stand in your way ,woman,girls Don't like simp be you and do the support if necessary but that's not your obligation to give her money
 
Kijana wa 20s na early 30s akipita huu uzi bila kuchukua notes na kuzifanyia kazi atakuwa mjinga namba moja.

One of the best threads on how to relate to women ngonocally and mapenzically.
VIJANA WAMEJAZANA KWENYE DM ZA MASINGO MAZA NA MAGUMEGUME SHINDIKANA YA JF.
WANASIMP KUPEWA UTAMU WA BUREBURE.

VIJANA WA KIUME HUWA HAWASIKII HADI WAGARAGAZWE NA MAPENZI, SO WATOTO WADOGO HAWAWEZI ELEWA GAME IKOJE.LEGENDS ONLY NDO TUNAMUELEWA KITINGTANGTINGTANG MWENETU.

MTOA MADA KAPIGA MULE MULE MOJA YA UZI WA KUUSOMA KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO YOYOTE NA HAWA MAJINI.

MADOGO WA ELFU MBILI PITIENI HUU UZI NA MUUTENGENEZEE LAMINATION MTUNDIKE MAGETONI KWENU.HUU UZI NI ZAIDI YA MGODI.

#NO REFORM,NO MARRIAGE!!!!


📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI.
 
Sijawahi kuwa na tamaa wala mshamba wa mapenzi ila ule ukweli mnaharibu watoto wa watu ...Kama wewe unatak kusema haujachezea mtoto wa watu bila ya kumuoa huko nje?
Aliochezewa ni yule aliyebakwa tu....PERIOD!!

Nyie mnaokula chipsi kuku za watu na kisha mkaingia lodge na kusaula wenyewe, nyie mmejichezea.

📌Na kuwakula hatuachi, tutaendelea kupasiana nyie broilers msionaakili kama mpira wa VOLLYBALL😉
 
Mkuu hii ni Safi,Asante kwa kazi hii muhimu.
Kazi kwa vijana!!
 
Na hata mapungufu yake madogo madogo unaweza kumbadilisha, ni tofauti na hao wa 30+ ambao unakutana nao wakiwa hardcore kwenye mitazamo yao ya kimaisha hata kama ina shida

Sasa mmempiga, mpaka kachanganyikiwa. Wengine mlienda hata kutambulishwa kwao. Halafu mkampiga puu, mkaingia mtini. Wee unafikiri atakuwaje kama siyo gumegume
 
Dah fact aisee umeua umemaliza hii kwenye kikao cha wanaume nimeipenda Zaid iyo ya mwisho kiukweli kwenye mahusiano wanaonufaika Zaid ni wanawake ndo maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili akili kumkichwa
 
Only used and trauma woman can do so
 
Tatizo mnaoa wake za watu. Mwanamke alipita kwa rundo la wanaume amefundishwa tabia mbaya amekubuhu. Hata hawezi kufundishika tena. Mwanamke ni kama mtoto mdogo ndio maana anaitwa Baby anafundishika na kuishi hivyo unavyotaka hata kama wewe ni maskini. Tafuteni wake zenu mwanze kuwafundisha vile mnavyotaka wawe ndivyo watakavyokuwa. Lakini sio kuchukua mke wa mtu.
 
Noted✍️
 
Unaongelea version ya wanawake wa zamani. Batch ya wanawake unawaongelea iliishia miaka 70 mpaka 80 mwanzoni
 
mambo niliyoyaandika hapa ni ngumu kidogo kueleweka na mwanamke, especially ukiwa mwanamke mwema kuna namna unaweza kufikiri naionea jinsia yako.

Lakini ukweli ni kwamba kuna mentorship ili zieleweke ni lazima iwe man to man. Things like descpline, masculanity, purpose only men to men mentorship can be full impart.

Kama una mtoto wa kiume au utakuja kuwa nae, nakushauti suala la mentorship mwachie baba ake. Ukilazimisha kuchukua ilo jukumu utampoteza kijana wako.
 
Sasa mmempiga, mpaka kachanganyikiwa. Wengine mlienda hata kutambulishwa kwao. Halafu mkampiga puu, mkaingia mtini. Wee unafikiri atakuwaje kama siyo gumegume
Hapo ndipo unakuja umuhimu wa kuoa young and virgin woman, kwa sababu huyu bado mtazamo wake haujaalibiwa na chaos za kwenye dating pool kwaiyo bado ana ile innocence akilini mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…