Mambo ya kuzingatia kwa wanunuaji wa used fridge

Kuna kitu nacho huitwa TIMER, unakuta fridge ikiwaka ndio haizimi hiyo hata barafu likiwa km jiwe kitu kinaunguruma tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sio mtaaalam wa hayo mambo
 
Angalia kama compressor haijachinjwa ikiwa na dalili za kuchinjwa ujue hayo ni majanga
Zingatia maelekezo yaliobandikwa kwenye sticker kwenye hiyo compressor.
 
Back in time kipindi ndio naanza maisha nilikuwa na used fridge, ilikuwa kwa siku natumia unit 3 hadi 4 za umeme tena nipo peke angu matumizi makubwa ni taa, tv na redio hasa mida ya usiku nikitoka job, kuja kufuatilia kumbe ni fridge ndio ilikuwa inanipa hasara ya umeme
 
Sasa baada ya dakika ngap iwe kipimo cha kutoa ubaridi..mana umesema liwake kwa dak 10..kisha lizimwe..then baada ya dakika 5 mbele liwashwe kuona kama litatoa barid..sasa litoe bard kwa dakik zipi kama kipimo?
 
Sasa baada ya dakika ngap iwe kipimo cha kutoa ubaridi..mana umesema liwake kwa dak 10..kisha lizimwe..then baada ya dakika 5 mbele liwashwe kuona kama litatoa barid..sasa litoe bard kwa dakik zipi kama kipimo?
Almost likisha kolea baridi kabisa lipe lisaa linatosha kabisa kukupa guarantee ya iyo compressor kwa kupitia iyo proses linatakiwa litoe baridi ya nguvu kabisa yani kama ni frost basi ligangandishe kabisa ndani uhakikishe mabarafu yamejaa na kama nofrost basi hakikisha kwa ndani ukiweka mkono wako huwezi kuuvumilia ubaridi kwa muda wa dakika tano ama ukiweka maji yapate baridi ndani ya nusu saa

Kuna vipimo vya kitaalamu ili kuijua compressor mbovu lkn sasa ivyo ni lazima uwe na ams meter mfano kuna rate tunazoziconsider kwa no fulan za pressure lkn in general sisi wataalam tunatumia njia iyo kuipima compressor lkn ukitaka iyo ya kitaalamu basi mchukue fundi uende nae
 
Jifunze kuwa lugha zenye staha Mkuu na kuwa na heshima kwa watu usiowajua humu ndani.
Wewe vipi? Lugha gani isio na staha nimetumia hapo? Kuuza friji sio kazi? Mbona wauza mafriji wengi tu wako vizuri. Acha mawazo hasi.
 
Thanks kiongoz hapo nmekupata
 
Unaweza kukuta nina umri wa baba yako. Kuuza mafriji ni dharau? Mbona wabongo hamjiamini? Nilikuwa naleta friji used kutoka Oldham Uk mwaka 2005 bahati mbaya mwenzangu huku Tz alifariki biashara ikafa.
Alafu dogo una dharau za kipuuzi sana asee aya bhana prondo hongera
 
Sawa muuza mafriji wa zamani(kama mimi). Hivi sasa hivi kuna friji ambayo sio frost free?
 
Wewe vipi? Lugha gani isio na staha nimetumia hapo? Kuuza friji sio kazi? Mbona wauza mafriji wengi tu wako vizuri. Acha mawazo hasi.
Mkuu prondo umeshinda tusamehe mkuu..
 
Uko vizuri kaka ili nililisahau mzee hongera kwa kunikumbusha mzee
 
So risk ni kubwa zaidi dah
 
Uko vizuri kaka ili nililisahau mzee hongera kwa kunikumbusha mzee
 
Nilinunua friji nikiwa chuo asee ni balaa,hata machungwa ukiweka kule chini ukija kesho yamekua jiwe,nikaliuzia mbali dadeki.
Aaah asee duuh umetisha sana yani lilivyofanya kazi vizuri wewe ukaona uliuze si mbaya pia maana ulirudisha pesa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…