Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

ustaharabu huo umebaki kwa wazungu tu, kwanza mim ndio mtu wa kwanza kuona kama nipo kifungoni pale ninapomtembelea ndugu yaani siwez kukaa ugenini, sina tabia za uswahili lakin nashindwa kukaa ugenini.
 
Kwakweli hiki kipengele cha ugeni kwangu huwa ni changamoto kiasi naonekana nna roho mbaya....

Hivi serious mgeni unakaa kwangu miezi 3+ halafu bado unataka nikutreat kama mgeni nikuandalie sijui maji nikuletee msosi chumba kwako nikusafishie chumbani??? Hapana sina huu muda treatment za hivo utazipata within a week kama tofauti na hapo nna roho mbaya basi sawa.
 
......mkuu hongera kwa Uzi mzuri wa kujenga, ungekuwa mwalimu ningekuajiri uwe mwalimu wa somo la life skills........
 
Shida huanza mgeni ukifikia mahali ambapo kuna KE,hawa ndiyo hatari ila mgeni ukifikia mahali mkawa ME kwa ME angalau hapawi pagumu.
 
Shida huanza mgeni ukifikia mahali ambapo kuna KE,hawa ndiyo hatari ila mgeni ukifikia mahali mkawa ME kwa ME angalau hapawi pagumu.
Hakuna cha me wala ke, ustaarabu unahitajika pia usikae ugenini hadi ukachokwa tena ukae tu bila sababu sio mgonjwa sio mwanafunzi upo tu yani heeeee
 
........mnashauri vipi kudeal na ndugu ambao wanalazimisha uende kwao au usiondoke mapema....inafika mahali unaona kabisa hali kiuchumi sio nzuri hadi unaanza kutoa sapoti vyakula wewe daily......pia ikitokea walikuona mjini wakagundua ulilala gesti ni lawama ukoo mzima Kwa nini hukulala kwa
shangazi fulani.....
 
🥰
 
Hakuna cha me wala ke, ustaarabu unahitajika pia usikae ugenini hadi ukachokwa tena ukae tu bila sababu sio mgonjwa sio mwanafunzi upo tu yani heeeee
.......na kwa kuongezea tu usipende kutembelea watu ambao ni wenza, couple nyingi za siku hizi hazipendi jam sebuleni....mtu kaoa/kaolewa leo lakini kesho tayari ndugu wanaanza kujazana, wengi wanaboreka....... honestly ugeni ni siku tatu tu, ya nne unaaga na unawaambia kabisa bajaji iko nje.......sio unakaa hadi siku unapoondoka wanaogopa kusema karibu tena ebooh!!!......
 
11. Unapokula, kula ukiwa unaangalia chakula kilicho mbele yako acha kuangalia Cha upande wa mwenzako alafu tafuna kistaarabu ukiwa umefunga mdomo acha kutafuna kwa fujo kama mashine huku mdomo umeacha wazi.

12.ukikaa kaa kistaarabu usipandishe miguu kwenye kochi.

13. Unapoongea na wenyeji acha kuongea ukiwa unachati kweny simu yako, weka simu pembeni bundle yenyewe ya mawazo boya wewe
 
🤣🤣🤣 Karibu beer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…