Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa ndugu sii ndio pakujiachia kama mmeshibana. Sasa usipojiachia kwa ndugu sii balaa hilo. Hizo zote ni ugumu wa maisha tuu lakini kama upo fresh wala huwezi lalamika kuhusu nduguWee ndio wale ukienda kwa watu ustaarabu pembeni. Unakaa kama kwako?
Kama hamjashibana je??Sasa kwa ndugu sii ndio pakujiachia kama mmeshibana. Sasa usipojiachia kwa ndugu sii balaa hilo. Hizo zote ni ugumu wa maisha tuu lakini kama upo fresh wala huwezi lalamika kuhusu ndugu
Unaendaje kwake kama hamjashibana?Kama hamjashibana je??
Hata huyo mlioshibana, unatakiwa kuwa na mipaka sio unajiachia tu. Anaweza asikuambie ila kumbe unamkwaza.Unaendaje kwake kama hamjashibana?
Kuna ndugu mnavibe na wengine hamuendni so dnt go to their homes
Ndio lazima kuwe na mipaka na pia ustaraabu.Hata huyo mlioshibana, unatakiwa kuwa na mipaka sio unajiachia tu. Anaweza asikuambie ila kumbe unamkwaza.
Kama nawaona watu wa ushirika mnavyojisifia khaa🤓🤓🤝🤝Tukuyu,Yani sie hatuwachoki wageni Wala atuonagi kama wanakero.
Mtu kaja hakai milele kwako mwache atambe akichoka ataondoka,Mungu katuumba namioyo miwili watu waTukuyu tunaishi ata nawalioshindikana nawala atujali
Umenena mkuu... Bora mtu aje akiwa ana ishu anafatilia sio anakuja ili atoboe kupitia kwakoma
maisha yamebadilika sana na hasa mjini.
kipindi cha nyuma maisha yalikuwa na nafuu mjini lakini sio kwa sasa kwa kuwa mjini hakuna tena cha bure tukiona aibu katika ukweli hatuwezi kusogea na hao tunaofikiri tunawasaidia tunazidi kujenga taifa tegemezi lenye vilema wasio waremavu!
Nikitoka asubuh narud jioni ...na asubuh sinywi chai yaoIlikuaje?
Loh, na soksi zake zina uvundo.USIWEKE MIGUU KWENYE MAKOCHI AU MEZA. .
Kuna watu wanaweka miguu katoka kupuyanga nje huko anatuliza kwenye coffee table au masofa wakati anajua hayafuliwi. .
Kanizidi miaka 14🤣🤣 mmepishana sana umri na sister?
Mimi hubeba ndizi mbivu kwani hupenda kulia wali, pia pilipili na ndimu za kuweka kwenye kachumbari.1. NJOO NA MAHITAJI YAKO MADOGO-DOGO
Njoo na mswaki wako, sabuni yako ya kuogea na dawa yako ya meno, taulo na mahitaji yako mengine madogomadogo. Kuna wageni wanaomba hadi nguo za...kwa wenyeji sio vizuri.
2. USIFUNGUE FRIJI WALA MAKABATI
Usifungue friji ya wenyeji au makabati bila kuambiwa ufanye hivyo. Mgeni unasikia kiu omba maji kwa wenyeji sio unaanza kufungua friji bila ruhusa eti unatafuta maji ya kunywa. Ukihitaji kitu omba kwa wenyeji sio kuanza kupekuapekua.
3. USIBAKI SEBULENI
Wenyeji wakiingia kulala usibaki sebuleni unatazama TV ingia chumbani kwako. Sambamba na hilo mkiwa mnatazama TV sebuleni usianze kushika rimoti na kubadili channel bila ruhusa ya wenyeji.
4. USIZIDISHE MUDA WA KUKAA
Ukifika ni vizuri uwajulishe wenyeji wako utakaa hadi lini na usizidishe muda labda wenyeji wakuombe wenyewe. Kama uliwaambia utakaa wiki ikifika ondoka sio unasubiri hadi wakuulize unaondoka lini.
5. USIINGILIE MAZUNGUMZO
Ikatokea wenyeji hasa mke na mume wana mjadala wao wa mambo yao binafsi usipende kuingilia na kujifanya mshauri bila kuombwa kufanya hivyo. Labda wanapanga wapike nini siku hiyo mgeni usharukia kuchagua chakula kaa kwa kutulia. Katika jambo lolote wanalojaldili subiri uombwe ushauri.
6. USI-TEMBELEE MAJIRANI
Usitembelee majirani "ooh jamani mie ndo mpwa wa huyu jirani yenu nimeona niwasalimie".... Pata ruhusa ya wenyeji wako kwanza kabla hujaanza kuzunguka kwa majirani. Sambamba na hilo usilete wageni hapo ulipofikia bila kumtaarifu Mwenyeji wako.
7. KULA VYAKULA VILIVYOPO
Jitahidi kula chakula kinachowekwa mbele yako na kama vinakupa shida basi nunua hivyo vyakula sio "ooh maharage yananiumiza tumbo" kanunue nyama ulete wakupikie.
8. USITUMIE VIFAA VYA WENYEJI
Usianze kutumia vifaa vya wenyeji bila ruhusa mfano unaanza kuwasha computer au vifaa vya mazoezi . Usianze kuzunguka nyumba na kuingia kila mahali labda mwenyeji wako akuoneshe sio kukagua nyumba nzima na kuingia vyumba ambavyo hujaambiwa.
9. SAIDIA KAZI
Tandika kitanda chako na safisha chumba ulichopewa kulala. Saidia kazi za hapo nyumbani ulipofikia labda wakukataze wenyeji. Sambamba na hilo utakapoondoka acha chumba katika hali ya usafi kama ulivyokikuta.
10. USIJE MIKONO MITUPU
Usije mikono mitupu beba zawadi kidogo kwa wenyeji wako.
Tukutane Taifa Yanga anapiga mtu 2 bila.
baba kwaajili ya wenyeji wako na si kwaajili yako.Mimi hubeba ndizi mbivu kwani hupenda kulia wali, pia pilipili na ndimu za kuweka kwenye kachumbari.
Unaandika mavi.Fika salimia kisha rudi logde sepa
Unaandika mavi.Kaa hotelinii tu.
Unaandika mavi.Mie nisivyo penda kukaa kwa watu, iwe ndugu au jamaa na marafiki, naish kwangu, nikichokaaa ni home kwa wazaziii.
Hawa wenginee hapana wanisamehe tyuuh, kwan had wanani mic wenyewe niende makwao. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]