Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

Hapo kwenye mgeni kuleta mgeni jamani hasa ndugu zangu wa bara khaaa ebu tuende na wakati kidogo mjini kugumu halafu unanletea mtu hata simjui mpaka nyumba inakuwa nzito
 
Wee ndio wale ukienda kwa watu ustaarabu pembeni. Unakaa kama kwako?
Sasa kwa ndugu sii ndio pakujiachia kama mmeshibana. Sasa usipojiachia kwa ndugu sii balaa hilo. Hizo zote ni ugumu wa maisha tuu lakini kama upo fresh wala huwezi lalamika kuhusu ndugu
 
Sasa kwa ndugu sii ndio pakujiachia kama mmeshibana. Sasa usipojiachia kwa ndugu sii balaa hilo. Hizo zote ni ugumu wa maisha tuu lakini kama upo fresh wala huwezi lalamika kuhusu ndugu
Kama hamjashibana je??
 
Unaendaje kwake kama hamjashibana?
Kuna ndugu mnavibe na wengine hamuendni so dnt go to their homes
Hata huyo mlioshibana, unatakiwa kuwa na mipaka sio unajiachia tu. Anaweza asikuambie ila kumbe unamkwaza.
 
Mi nilikoma na mdogo wa mkewangu baada ya kuniletea dharau na yuko kwangu.
 
Tukuyu,Yani sie hatuwachoki wageni Wala atuonagi kama wanakero.
Mtu kaja hakai milele kwako mwache atambe akichoka ataondoka,Mungu katuumba namioyo miwili watu waTukuyu tunaishi ata nawalioshindikana nawala atujali
Kama nawaona watu wa ushirika mnavyojisifia khaa🤓🤓🤝🤝
 
Umenena mkuu... Bora mtu aje akiwa ana ishu anafatilia sio anakuja ili atoboe kupitia kwako
 
Ilikuaje?
Nikitoka asubuh narud jioni ...na asubuh sinywi chai yao
Weekend nasaidia kuchota maji na kazi zingine...kwa bahat nzuri wiki mbili za mwsho niliugua sana kwahyo nikawaambia ngja nirud nyumbani
Na nyumban sikurudi nilienda kuugulia kwa singo maza niliezaa nae ni wilaya nyingine tofaut na hapo kwa ndugu
 
USIWEKE MIGUU KWENYE MAKOCHI AU MEZA. .

Kuna watu wanaweka miguu katoka kupuyanga nje huko anatuliza kwenye coffee table au masofa wakati anajua hayafuliwi. .
Loh, na soksi zake zina uvundo.
 
Kwanza uwa sipendi kwenda kwa watu hasa kulala. Uwa naogopa kubeba kunguni.hata kama ni wasafi ila uwezi jua chimba cha wageni wanalala wageni wapi maana kunguni wanajificha kwenye kitanda.

Tuache hayo, mimi nikisafiri nikalazimika kifikia kwa mtu basi nabeba kila kitu kasoro sudulia sahani na ndoo ya kuogea.

Juzi nililazimika kifikia kwa shoga yangu mkoa alicheka sana maana na sabuni nilibeba yangu. Sipendagi keroo.
 
Mimi hubeba ndizi mbivu kwani hupenda kulia wali, pia pilipili na ndimu za kuweka kwenye kachumbari.
 
Hahahahaha wewe! Mda so mrefu utaanza kununiw na shemj
 
Fika salimia kisha rudi logde sepa
Unaandika mavi.

Una uharo kichwani?

Fikiria umetoka Mtwara, umemleta mama yako Muhimbili hospital kufanyiwa Chemotherapy.

Matibabu yanachukua week tatu na siku kadhaa...

Unajua gharama za kukaa lodge siku 40+?

Wakati huo kaka yako amejenga Chamazi.
 
Kaa hotelinii tu.
Unaandika mavi.

Una uharo kichwani?

Fikiria umetoka Mtwara, umemleta mama yako Muhimbili hospital kufanyiwa Chemotherapy.

Matibabu yanachukua week tatu na siku kadhaa...

Unajua gharama za kukaa hotel siku 40+?

Wakati huo kaka yako amejenga Chamazi
 
Unaandika mavi.

Una uharo kichwani?

Fikiria umetoka Mtwara, umemleta mama yako Muhimbili hospital kufanyiwa Chemotherapy.

Matibabu yanachukua week tatu na siku kadhaa...

Unajua gharama za kukaa lodge siku 40+?

Wakati huo kaka yako amejenga Chamazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…