Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

Duniani hakuna uzuri au ubaya, bali tafsiri.
 
Ukiwa na malaya bar usiruhusu malaya kuazima simu yako anaenda kuongelea kule mbali; anaweza kukulengesha kwa magenge ya uhalifu.
 
Ukiwa bar unakunywa na malaya na rafiki zake, warekodi halafu uifiche simu hapo mezani ujifanye unaenda chooni kwa muda kama wa dakika 10 hivi halafu urudi uje kusikiliza walivyokuwa wanakuteta na kukuita buzi.
 
Mwaka ndio kwanza una wiki mbili, tunaanza mwaka na malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…