Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Mkuu ahsante kwa somo

Nna shida moja natka kujua sometime kwenye dashboard inatokea msg CHECK ENGINE naomba kujua ina maanisha nini na nini nifanye?

Maana yake kuna tatizo kwenye engine. Yatakiwa umpelekee fundi afanye uchunguzi wa tatizo na kulitatua
 
Ni hivi.
Kwa umbali ule ule, tairi ndogo inaweza kusoma km 115 na tairi kubwa ikasoma km 100.
Na speedometer mwenye tairi ndogo inaweza kusoma 140 km/h wakati tairi kubwa ikasoma 120 km/h.
Hivyo basi, ukiunganisha factors za mechanical advantage, distance covered, na rpm mwisho wa siku tairi yenye diameter kubwa ina save fuel kuliko yenye diameter ndogo.

natumaini hii haitaleta ule ubishi wa 120kph ya lori ni 140kph ya saloon car....
 
Gari inapima umbali wa barabara na sio mizunguko ya tairi. Hivyo kama Lorry linaenda spidi ya 120 km/h na saloon car inaenda spidi ya 120 km/h ina maana baada ya lisaa limoja yote mawili yatakuwa yame cover umbali wa km 120. Na, kama yanatembea pamoja basi yatakuwa sambamba.
N.B:
Errors zinaweza kutokea kutokana na size ya tairi kama inaendana na specifications za gari husika.
 
Kwahiyo dhana ya tairi kubwa na dogo kwenye fuel consumption unaizungumziaje mkuu
 
tuko pamoja....ila kuna watu mpaka kesho wanaamini 120kph ya lori ni kubwa kuliko 120kph ya vits
 
Umenipata mkuu TCleverly ?

nimekupata ila nimependa swali la mdau mmoja hapo juu...kwamba kwenye fuel consumption tairi dogo na kubwa ni sawa since at 120kph both will cover 120km in one hour......

ninachokijua gari yenye alloy wheels inakula mafuta kuliko yenye rims za kawaida since alloy wheels ni nzito
 
Kwahiyo dhana ya tairi kubwa na dogo kwenye fuel consumption unaizungumziaje mkuu
Naizungumzia hivi;
Tairi kubwa na ndogo under the same rim size and the same vehicle specifications.
Ukiweka tairi ndogo kuliko specifications za gari yako utakuwa unajila mafuta na pia itakudanganya distance na speed.
Mfano ukitembea km 100 inaweza kukwambia umetembea km 110.
Na ukiwa spidi ya 120km/h inaweza kukwambia upo spidi ya 130km/h.
Hivyo basi, tairi size inatakiwa kuzingatia specifications za gari.
 
Oohh haluluya
 
tuko pamoja....ila kuna watu mpaka kesho wanaamini 120kph ya lori ni kubwa kuliko 120kph ya vits
Ni kweli. Watu hao wapo.
Ila inapaswa waelewe kuwa vipimo vya spidi iwe ya ndege, meli, gari, treni nk havina tofauti.
Kama gari na treni zinaenda at 120km/h basi baada ya saa 1 zote zitakuwa zimetembea km 120.
 
Nna shida moja nataka kujua sometime kwenye dashboard inatokea msg CHECK ENGINE. Naomba kujua ina maanisha nini na nini nifanye?

Hii ni dangerous warning light. Inaonyesha computer ya gari yako ime-detect something wrong which need attention. Kuna vitu vingi sana vinaweza sababisha taa hiyo kuwaka. Baadhi yake ni kama hivi:-

  1. Evaporative Emmission Control System ina matatatizo (Mfano tenki lako la mafuta halina mfuniko au mfuniko wako haufungi vizuri, Catalytic converter ni mbovu, Charcoal Canister ni mbovu, nk
  2. Exhaust Gas Recirculation (EGR) system Failure (Mfano EGR valve imestark open au imestark closed, etc)
  3. Oxygen Sensor imefeli
  4. Crankcase Ventilation System imefeli
  5. Crankshaft Position Sensor imefeli
  6. Air fuel Mixture yako is too Rich au too lean (Hii ina maana kwamba mchanganyiko wa mafuta na hewa unaoingizwa kweye combustion chambers either una kiwango kikubwa cha mafuta kuliko hewa au una kiwango kikubwa cha hewa kuliko mafuta. Hii inaweza sababishwa na uchakavu wa nozzle au fuel filter imeziba kutokana na kujaa uchafu, nk
  7. Throttle Position Sensor imefeli na hivyo haipeleki signal sahihi kwenye computer ya gari
  8. Knock Sensor failure, etc

Kwa kifupi kuna mambo mengi yanayoweza sababisha CHECK ENGINE LIGHT iwake. Kuna baadhi ya gari inapowaka hiyo taa kuna error code number huwa inaapia kwenye dashboard kwa urahisi wa kufahamu tatizo. Aidha, kwa gari ambazo zinawaka taa peke, error code huwa inajirekodi kwenye computer ya gari na ili kuifahamu inabidi uipeleke gari garage ili computer ya gari iwe scanned na scan tool kuipata hiyo code na hatimae waweze kuitafsiri na kujua tatizo.

Sometimes ukichelewa kupeleka gari garage tatizo moja linaweza kuzalisha tatizo lingine na hivyo kupelekea zaidi ya error code moja being stored in the computer.

Mfano kama tatizo ni Nozzle/Injectors kushindwa ku-withstand fuel pressure na hivyo kuachia mafuta mengi kuingia kwenye combustion chambers kuliko inavyopaswa, kutokana na hali hii Oxygen sensor will detect moshi wako wa gari una-contain a lot of unburned fuel gases kwa muda mrefu na hivyo kupelekea taa ya CHECK ENGINE iwake. Kama ukichelewa kupeleka gari kwa fundi may be kwa zaidi ya wiki mbili maana yake utakuwa unaibebesha Catalytic Converter mzigo wa ziada wa kuharibu unburned fuel gases kwa kwa muda mrefu ili usiingizwe kwenye atmosphere. Hali hii itapelekea Catalytic Converter kupata joto kali kwa muda mrefu na hatimae na yenyewe kufeli na mwishowe error code yake na yenyewe kurekodiwa kwenye computer.

So unaweza kuta unatibu magonjwa mengi ambayo kimsingi yamesababishwa na gonjwa moja la awali. Na usipopata fundi mzuri kutibu magonjwa yote kwa mpigo unaweza shangaa ameteneza gari leo keshokutwa taa inarudi kuwaka tena.
 
Naizungumzia hivi;
Tairi kubwa na ndogo under the same rim size and the same vehicle specifications.
Ukiweka tairi ndogo kuliko specifications za gari yako utakuwa unajila mafuta na pia itakudanganya distance na speed.
Mfano ukitembea km 100 inaweza kukwambia umetembea km 110.
Na ukiwa spidi ya 120km/h inaweza kukwambia upo spidi ya 130km/h.
Hivyo basi, tairi size inatakiwa kuzingatia specifications za gari.

kama ni same rim size ukubwa unaozungumzia ni profile??mimi gari yangu ilikuwa originally low profile[225/50/16]....kwa sababu ilikuwa inagusa sana chini kwenye matuta na mashimo nikabadili to higher profile i.e 215/60/16...kwa maelezo yako hapo juu nitasave mafuta na naweza kuona nakwenda 120kph kumbe ni 125kph??correct??
 
Hii ni dangerous warning light. Inaonyesha computer ya gari yako ime-detect something wrong which need attention. Kuna vitu vingi sana vinaweza sababisha taa hiyo kuwaka. Baadhi yake ni kama hivi:-

  1. Evaporative Emmission Control System ina matatatizo (Mfano tenki lako la mafuta halina mfuniko au mfuniko wako haufungi vizuri, Catalytic converter ni mbovu, Charcoal Canister ni mbovu, nk
  2. Exhaust Gas Recirculation (EGR) system Failure (Mfano EGR valve imestark open au imestark closed, etc)
  3. Oxygen Sensor imefeli
  4. Crankcase Ventilation System imefeli
  5. Crankshaft Position Sensor imefeli
  6. Air fuel Mixture yako is too Rich au too lean (Hii ina maana kwamba mchanganyiko wa mafuta na hewa unaoingizwa kweye combustion chambers either una kiwango kikubwa cha mafuta kuliko hewa au una kiwango kikubwa cha hewa kuliko mafuta. Hii inaweza sababishwa na uchakavu wa nozzle au fuel filter imeziba kutokana na kujaa uchafu, nk
  7. Throttle Position Sensor imefeli na hivyo haipeleki signal sahihi kwenye computer ya gari
  8. Knock Sensor failure, etc

Kwa kifupi kuna mambo mengi yanayoweza sababisha CHECK ENGINE LIGHT iwake. Kuna baadhi ya gari inapowaka hiyo taa kuna error code number huwa inaapia kwenye dashboard kwa urahisi wa kufahamu tatizo. Aidha, kwa gari ambazo zinawaka taa peke, error code huwa inajirekodi kwenye computer ya gari na ili kuifahamu inabidi uipeleke gari garage ili computer ya gari iwe scanned na scan tool kuipata hiyo code na hatimae waweze kuitafsiri na kujua tatizo.

Sometimes ukichelewa kupeleka gari garage tatizo moja linaweza kuzalisha tatizo lingine na hivyo kupelekea zaidi ya error code moja being stored in the computer.

Mfano kama tatizo ni Nozzle/Injectors kushindwa ku-withstand fuel pressure na hivyo kuachia mafuta mengi kuingia kwenye combustion chambers kuliko inavyopaswa, kutokana na hali hii Oxygen sensor will detect moshi wako wa gari una-contain a lot of unburned fuel gases kwa muda mrefu na hivyo kupelekea taa ya CHECK ENGINE iwake. Kama ukichelewa kupeleka gari kwa fundi may be kwa zaidi ya wiki mbili maana yake utakuwa unaibebesha Catalytic Converter mzigo wa ziada wa kuharibu unburned fuel gases kwa kwa muda mrefu. Hali hii itapelekea Catalytic Converter kupata joto kali kwa muda mrefu na hatimae na yenyewe kufeli na mwisho na yenyewe error code yake kurekodiwa kwenye computer.

So unaweza kuta unatibu magonjwa mengi ambayo kimsingi yamesababishwa na gonjwa moja la awali. Na usipopata fundi mzuri kutibu magonjwa yote kwa mpigo unaweza shangaa ameteneza gari leo keshokutwa taa inarudi kuwaka tena.

hii taa inaweza kuwaka bila sababu??nauliza hivi kwasababu gari yangu inawaka hii taa miaka miwili sasa na haijawahi ku-breakdown na diagnosis machine nilizowahi kupima zilishindwa kuonesha fault.
 
Hii taa inaweza kuwaka bila sababu??nauliza hivi kwasababu gari yangu inawaka hii taa miaka miwili sasa na haijawahi ku-breakdown na diagnosis machine nilizowahi kupima zilishindwa kuonesha fault.

Mara nyingi CHECK ENGINE LIGHT inawaka kutokana na kufeli kwa Evaporative Emission Control System especially Catalytic Converter na Oxygen Sensor. Hata hivyo, kufeli kwa Catalytic Converter pamoja na Oxygen Sensor hakuwezi pelekea gari ku-breakdown. Kitakachokuwa kinatokea ni gari lako kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uharibifu wa mazingira kwa kutuo moshi ambao haujawa treated kuondoa sumu kali (unburned exhaust gasses). Pia kama Oxygen sensor imefeli maana yake utaendelea kuendesha gari lakini computer haiwezi ku-control fuel economy. Kwa kitalaam unaendesha gari under 'open loop' position badala ya 'closed loop' position.

Ndiyo maana hapa Bongo magari mengi unakuta Catalytic Converter ikiharibika wanapeleka exhaust pipe kwa mafundi wa kuchomelea wanaiondoa then wanaunganisha vipisi vilivyobaki na wanaendesha gari bila ya kuwa na Catalytic Converter. Kwa nchi za wenzetu(especially Europe and United States)Emission Control ni serious issue. Na ukikutwa unaendesha gari ambayo haina au imeharibika Catalytic converter na Oxygen Sensor ni kosa kubwa. Unashtakiwa kwa kuchafua mazingira.

Kwa nini diagnosis machine hushindwa kusoma
Diagnostic machine / scan tool zinakuwa feeded na two type of codes; Generic error codes (Standard code) na Vehicle Manufacturer Special codes. Generic error codes ni codes ambazo zinatumiwa na manufacturer wa magari wote Duniani wakati Vehicle Manufacturer Special codes ni zile codes ambazo individual manufacturer anazitumia kwa gari husika kutokana na utofauti wa gari hilo na magari mengine kwenye maeneo flani flani ya kitaalam.

Sasa si kila Diagnostic machine imekuwa feeded na error data za magari yote yaliyopo duniani. Aidha, hata kama Diagnostic machine imekuwa feeded na error data za magari yote kuna kipindi hiyo machine inapitwa na wakati kwa kuto-incorporate error code za magari yaliyotengenezwa baada ya hiyo machine kutengenezwa. Mfano: Ukitumia Diagnostic machine iliyotengenezwa Mwaka 1995 kupima gari iliyotengenezwa mwaka 2002 kuna baadhi ya vitu itasoma na vingine haitasoma. Error code mpya ambazo zimebuniwa Mwaka 2002 obvious hazikuwepo Mwaka 1995 na hivyo scan machine haitaweza soma. Aidha, inawezekana pia scan machine uliyotumika kusoma computer ya gari yako haikuwa feeded na data za aina ya gari lako.

Kitu kingine ni makosa ya kiufundi wakati wa ku-run scan machine. Mfano mtu anae scan machine akikosea kuingiza important information about your car (mfano: Make, Mode and Year of Manufacture) scan tool inaweza shindwa kusoma. So kwa ujumla CHECK ENGINE LIGHT ikiwaka lazima kuna sababu, haiwezi kuwaka hivi hivi tu.
 
100% satisfied with the explaination........but just a reminder its fed[pt of feed] not feeded
 
Kuna gari dogo Toyota altezza linatafuna mafuta like hell nini inaweza kua tatizo.
 
100% satisfied with the explaination. But just a reminder its fed[pt of feed] not feeded

Pamoja Kamanda,
Kitu kingine cha muhimu cha kuangalia ni electrical circuit ya hiyo taa. Inawezekana circuit ya taa imekuwa closed kwa bahati mbaya kutokana na electrical wiring problems inside the dash. So just remove the dashboard. Trace the cable kuanzia kwenye bulb hadi kwenye computer.
 
Ina miaka mingapi tangu imetoka Japan (I mean tangu iwe imported)?

ilikua registered kwa mara ya kwanza mwaka 2000, mi nimeileta mwaka huu mwezi wa tano
ina engine ya yamaha 3S-GE (SX-10) cylinder 4
engine ina ukubwa wa 1998cm3
nmejaribu ku google nkakutana na mambo kama spark plugs na vingine
matairi yame balance ni saizi inayotakiwa ndio zipo na sijawahi zibadili tokea imekuja nazo
 
Back
Top Bottom