Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

Mbna upande wa kure-play msg inazingua hapa forum? Shughulikieni hili linakera
 
Uchafu tu
 
Msafiri kafiri. Nimewahi safiri bila nauli kwenye treni (Kuzamia bafeti) toka Mpanda mpaka Tabora. Katika kubadili badili siti na harakati za kukwepa msako nikajikuta nipo siti moja na mdada ana watoto watatu wadogo, hakunisemesha njia nzima na ikaonekana uwepo wangu ni kero kwake. Chuma ikabuma (iliharibika) porini siku mbili mimi nilikuwa na mikate bofro mbili na maji makubwa chupa mbili maana najua kadhia ya treni zetu za mkoloni.
Basi nikagawa mkate mmoja, nikamwambia awape watoto wapoze njaa baada ya kuona kaishiwa misosi maji na majuisi juisi yake ambayo njia nzima alikuwa anakula peke yake na wanae.
Tulikaa pale siku mbili na mimi nilikuwa na simu ya Nokia inakaa na chaji wiki, akaniomba simu awasiliane na watu wake maana yake iliisha chaji nikamwambia mimi sina mawasiliano hivyo nikatoa laini yangu akaweka ya kwake na simu yangu ikawa kama yake.
Kichwa kilikuja asubuhu tukaendelea na safari mpaka Tabora. Tumefika Tabora stendi yule sister akanipa laki moja kama shukrani na asante kibao basi sikuchujua hata namba nikajikataa zangu kiroho safi bandidu mie.
Toka hapo nilijifunza kuwa mwema na mkarimu safarini mpaka leo hii. Hii ilikuwa 2011.
 
Wew usiseme hivyo!!! Watu wana techniques nying za kula mzigo😁😁😁
Sijakataa ila kwangu hazifui dafu mana na mie zimetimia eti
Na miaka yangu 30+hakuna ambacho sijawahi ona!
 
Najijua nilivyo ndo mana nakwambia hivyo
Kimasihara siliwi mkuu
Ova🀣🀣🀣🀣
.... ndio maana nasema tunza akiba ya maneno mkuu, watoto ni kwa vile hawapost ila nao wanaongoza kwa kula kimasikhara... itakuja kukukuta tu hata ya mtoto.
 
Mabasi yenye muziki, mhudumu /konda au dereva wasifungulie mziki sauti kubwa mno kana kwamba humo ndani ni Bar. Wazingatie kwamba kila abiria ana mambo yake kichwani yaliyomfanya asafiri na sio kuja kusikiliza muziki kwenye gari lao.
Ila No 1,3,4,8 na 9 nimezipenda sana. Hongera mkuu.
 
Hao wasukuma ndio kiboko πŸ˜‚πŸ˜‚ndoo ya maji
 
Ndio maana huwa napenda nikisafiri na basi yaani safari inapoanza tu mi nishagida pombe kitambo. Hapo simsumbui mtu mwanzo mpaka mwisho wa safari. Nishawahi kulala kabisa kwenye siti za nyuma kuanzia Manyoni hadi Mbezi.
 
Siku iyo niko Moro msamvu mida ya saa 4 usiku Nasubiri usafiri wa kwenda Dar ikaingia New Force ya kutoka Sumbawanga ilijaa ila nikapanda ivyoivyo, sasa nikawa nimesimama.

Sasa karibu na kwenye siti niliosimama kulikuwa na mkaka anachati na mke wake, mke wake akawa anamwambia mumewe umeme nyumbani kwao umekatika, basi mwanaume akamjibu, kwahiyo leo tunatom**na kwenye giza?!! Nikashindwa kuvumilia nikacheka yule kaka akanigeukia tukaaangaliana wote tukaanza kucheka teena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…