Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,901
- 410
Naamini tuko pamoja, lakini mimi nasema hivi, kama huduma ya babu yatoka kwake tutaiona kwa sababu itadumu na kinyume chake ni sahihi, mimi na wewe tuwajibike kumwomba Mungu zaidi ili kama kuna mkono wa shetani idhihirike mapema kabla watu wa Mungu hawajaangamia.
Yesu Kristo alilipa gharama kubwa kutuweka sisi huru na akasema, kwa matendo yao mtawatambua. Babu hana sababu ya kujieleza kwa sababu hajatoa tangazo la huduma yake, kilichotokea ni wale walio saidiwa na kupata nafuu ndio walio waita ndugu zao kwenda huko. Vile visenti vinavyotolewa ndio vinatumika kununua vikombe, sabuni za kuoshea vikombe/masinia, kuchimbia vyoo pale kwa babu,na dharula vingine. Halafu yeye akikupa kikombe chake anakuwa amemaliza kazi hakwambii uende kanisani kwake wala wapi.
Uislamu upo wazi hauna löngolongo umekamilika na walishasema BABU "NO". Tatizo ukiristo haujakamilika ndo maana babu kajitokeza kila mtu anaongea lwake leo kakobe, kesho pengo mara upako hakuna dira kabisa.
.
Hapo itakuwa nami nitamimina Roho wangu, watoto wenu wake kwa waume watatabiri, wazee wenu wataota ndoto na vijana wenu wataona maono.
Miss Jude, hili ni Neno la Mungu? Au labda kutakuwa na uchakachuaji?
.
ni neno la Mungu kwa viwango vyote!
ila nakutahadharisha kuwa kwa kuwa imeandikwa hiyo, basi si kibali cha moja kwa moja cha kuamini kila ndoto. ndoto hizi zapaswa kuwa consistent na tabia ya Mungu. kumbuka hata shetani huleta ndoto na maono. hata kule jangwani kwenye majaribu ya Bwana, shetani alitaka Yesu amjaribu Mungu kwa kuwa iliandikwa kuwa akijirusha chini mungu atamletea malaika zake mguu wake usijikwae. so asomaye na afahamu. ni Neno tu litalakolotuweka huru, si ndoto!
Glory to God
nice joke but amwage dawa ipi? Kuna aina ngapi za dozi pale?
mashikolomageni wewe ulikuwa mstari upi? kulia au wa kushoto?