Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Ukiwa na nyama nyingi utabadilika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja #6,7&11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiutana na mtu wa makamo lazma useme "shikamoo"

Mie sina huo ushwaini, nachukia sana kumwambia mtu shikamoo ila ndio hivyo kwa wengi unaonekana mshenzi...Ati mbona unisalimii, yani ukiidai hio shkamoo najiskia hata kukutukana.🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kubisha kabisa kabisa, haha haaa...
 
Nyama ilitumika kama silaha, ili mtoto aweze kumaliza chakula
Kabisaa ingawa umaskini ulichangia.. kilo ni mboga ya mchana na jioni na familia yenyewe kubwa. Bhasi hapo ni mboga za majani pembeni, mchuzi mwingi nyama mbili
 
Mtaangalia taarifa za habari za channel zote kinachofuatia ni mchezo. Saa nne hakuna kuangalia tamthilia za nje mtafundishwa tabia mbaya, mkalale
Baba alikuaga na tabia akimaliza kuangalia vipindi vyake sa 3 usiku anazima anaenda kulala, anatuambia tukasome dining. Baada ya kama nusu saa anarudi kugusa TV kwa nyuma kama mliwasha hua inakua na jotojoto😂😂
Ila wazazi walikua wanajipa mateso bila chuki
 
Mbona siku hizi hawaitikii !!!..
ukimuamkia utaskia mambo vipi au shwari
 
Kabisaa ingawa umaskini ulichangia.. kilo ni mboga ya mchana na jioni na familia yenyewe kubwa. Bhasi hapo ni mboga za majani pembeni, mchuzi mwingi nyama mbili
Kweli kabisa, na hapo kubadili mboga hadi weekend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…