Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Hakuna kitu kama hicho watu wanaodhulumu Kila siku na hakuna ktu kinawapata tena ndio matajiri makubwa kwenye miji mikubwa
Karma is real my dear sister. Hao matajiri wa dhuluma wanapitia mateso ya kimya kimya ambayo kamwe hawawezi kukwambia. Dhuluma humnyima mtu "peace of mind"

Kuna tajiri mmoja wa dhuluma yupo around 69 anaweweseka. Anasema anaona watu wanamfuata kila anapoenda, but in reality hakuna watu hao ila ni mawenge tu.
 
Hiyo namba 8 usije ukaifanyia kazi hata siku moja. Wewe ukigundua usaliti wa hao watu kaa kimya maana anajua achofanya na muda ukifika atakanywa na wanaohusika.

Hakuna mzigo mzito kama kuijua siri ya mtu, kwenye haya maisha epuka sana kujua siri za watu.
 
Ukiwa na PESA hayo yote ni NULL & VOID
eti Bakhressa akikaa sebuleni kwako akigusa mdoli heshima yake itashuka maishani😀😀😀
Unachukua vp kitu cha mtu bila ruhusa yake, tena wakati hayupo na wewe hapo sebuleni?? Huo ni ustaarabu tu wa kawaida. Mwenye pesa msomi anakuwaga mstaarabu sana tofauti na wale wa pesa za P Diddy.
 
No 2,Nakukatalia ukipakuliwa na unaweza kumaliza maliza ,Maneno ya watu yasikupangie juu ya Afya yako
 
Rekebisha hapo kweny my sister hi I'd ni me mzee

Mfano hii kesi ya dada wa msuya si unaona yule mwanamama katoka yupo fresh tu na anakula maisha
 
Rekebisha hapo kweny my sister hi I'd ni me mzee

Mfano hii kesi ya dada wa msuya si unaona yule mwanamama katoka yupo fresh tu na anakula maisha
Yule dada inawezekana sio mhusika. Inawezekana kuna watu walifanya vile ili yeye aonekane ndio kafanya.

Mkuu, vp kama Babu seya angepigwq risasi punde baada ya Magufuli kumuachia. Hauoni kama watu wangesema kuwa "CCM wamemtoa ili wamuue" kumbe ni wabaya wa Magufuli na CCM ndio waliofanya vile ile kuweza kuwachafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…