Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kama naweza nafuta chote,Kuna tafsiri mbili hapa moja unampa motisha mpishi kuwa chakula chake kitamu,anajua kupika n.k,ila upande mwingine utaonekana mlafi n.k ww usiogope What doesn't kill you makes you strong kula usibeHahahahaa, mkuu kwa hiyo wewe haubakishi hata kidogo?? Unafukia chote au sio??
Hahahahaa, sawa mkuu.Kama naweza nafuta chote,Kuna tafsiri mbili hapa moja unampa motisha mpishi kuwa chakula chake kitamu,anajua kupika n.k,ila upande mwingine utaonekana mlafi n.k ww usiogope What doesn't kill you makes you strong kula usibe
Hakika mkuu. Kwa maana once you break up, you won't like seeing her around but unfortunately enough, you're in the same office. Kazi kweli kweli mkuu.Usizini na workmate ni hatari kwa afya ya kazi.
Kwa hiyo mkuu niache kumla yule jirani wa pale? Ila mtamuANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.
Respect your wife and children.
Sasa kwanini unatumia jina la kike mkuu??Rekebisha hapo kweny my sister hi I'd ni me mzee
Mfano hii kesi ya dada wa msuya si unaona yule mwanamama katoka yupo fresh tu na anakula maisha
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
Usimdhalilishe mkeo na watoto wako hapo mtaani.Kwa hiyo mkuu niache kumla yule jirani wa pale? Ila mtamu
Pia ukiwa kwenye kadamnasi km ikitokea umejamba kwa sauti usijishtukie fanya km haujajamba wewe hio itaondoa taharukiBut this sounds dirty.
MANENO YA TUNDU LISSU: “Nilivyokwenda Nairobi nilisikia Yeye (Peter Msigwa) ameshikilia chupa ya damu Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ameshikilia mtungi wa gesi, ndo hivyo sasa mnataka nisemeje kwa watu wa namna hiyo? Nimtukane mshenzi? Haiwezekani”
Another smartphone on wrong hands.Pia ukiwa kwenye kadamnasi km ikitokea umejamba kwa sauti usijishtukie fanya km haujajamba wewe hio itaondoa taharuki
Hahahahaaa, daah ila baharia umetisha sana Mzee baba.Usipime"oil" , usinyonye maziwa,Wala romance kwa mwanamke uliemnunua kwa dharula.
Ukiingia lodge na malaya, hakikisha fungua umeiweka pahala pa Siri yako tu.
Nani tena huyo mkuu??Wengi wanafanya kinyume cha hayo, halafu hiyo number ten kuna mnafki mmoja alikuwa anaipenda!
Kila unapojamba usisahau kwenda kutawaza kujamba hakuna tofauti na kunya, usisahauAnother smartphone on wrong hands.
Ukishakunya usisahau kuchambaKama hujaalikwa kwenye shughuli usiende. Hata ukialikwa siyo lazima uende, tafakari kwanza, kuna mwingine anakualika tu kuondoa lawama