Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kama naweza nafuta chote,Kuna tafsiri mbili hapa moja unampa motisha mpishi kuwa chakula chake kitamu,anajua kupika n.k,ila upande mwingine utaonekana mlafi n.k ww usiogope What doesn't kill you makes you strong kula usibeHahahahaa, mkuu kwa hiyo wewe haubakishi hata kidogo?? Unafukia chote au sio??